Kama upo Arusha njoo tutumie pesa... Usiwe unasimuliwa tu jinsi watu wanavyotumia pesa.

Kama upo Arusha njoo tutumie pesa... Usiwe unasimuliwa tu jinsi watu wanavyotumia pesa.

demis

Kama nakuona vile mama chakudanga unatamani hata ungekua arusha mida hii 😛 😛 😛
 
Kupata huduma hii niwe nabonyeza ngapi maana napitwa mimi

Hahaha ila jamaa anajuaga kuturusha roho jamaniiiii
Hahahhaha kiukweli napenda kusoma post zako nimekuwa shabiki wako

Wa arusha mkuje huku mnaitwa na pedeshee kiduku lilo mtu na pesa zake

kapeace mama ebu pita huku hivi haupo arusha eenh
 
KIATU KIPYA MIGUU YA ZAMANI....Nikiwa namaanisha kwamba ID NI MPYA ILA NATURE YA CONTENT NI KAMA YA ZAMANI TU,yaani umebadilisha Id lakini mada ni zile zile😂😂😂
 
Back
Top Bottom