Kama upo Dar na mkeo yupo mikoani imekula kwako. Weekend hii naenda kumchakata

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Poleni wanaume wote ambao wake zenu wako mbali nanyi. Hakika mnaibiwa sana.

Weekend hii ni zamu ya wanaume wa Dar ambao wake zao wako mikoani. Mmoja wa wanaume hao atachapiwa weekend hii, maana nimepata mwaliko toka kwa mkewe niende kumchakata..
 
Poleni wanaume wote ambao wake zenu wako mbali nanyi. Hakika mnaibiwa sana.

Weekend hii ni zamu ya wanaume wa Dar amabao wake zao wako mikoani. Mmoja wa wanaume hao atachapiwa weekend hii, maana nimepata mwaliko toka kwa mkewe niende kumchakata..
Leta ramani nikuelekeze Lodge nzuri
 
Poleni wanaume wote ambao wake zenu wako mbali nanyi. Hakika mnaibiwa sana.

Weekend hii ni zamu ya wanaume wa Dar amabao wake zao wako mikoani. Mmoja wa wanaume hao atachapiwa weekend hii, maana nimepata mwaliko toka kwa mkewe niende kumchakata..
Hivi wewe ni sisi au wewe ni "Untha"
 
1654722059861.png
 
Hakika nyuzi zako zinashabihiana na jina lako. Maana leo ni mwanume unaenda kuchakata kesho unakuja kama mwanamke uliyechakatwa. Wewe kweli 'sexless'
 
Tag location mkuu, mtu apigwe mtungo
 
Back
Top Bottom