Kama upo Dar na mkeo yupo mikoani imekula kwako. Weekend hii naenda kumchakata

Poleni wanaume wote ambao wake zenu wako mbali nanyi. Hakika mnaibiwa sana.

Weekend hii ni zamu ya wanaume wa Dar amabao wake zao wako mikoani. Mmoja wa wanaume hao atachapiwa weekend hii, maana nimepata mwaliko toka kwa mkewe niende kumchakata..
Wewe bwege kwelikweli. Kwani wako unakwenda naye?
Tena hiyo hiyo hela uliyomuachia ndio ataitumia kwenye kuchanwa.
 
Poleni wanaume wote ambao wake zenu wako mbali nanyi. Hakika mnaibiwa sana.

Weekend hii ni zamu ya wanaume wa Dar amabao wake zao wako mikoani. Mmoja wa wanaume hao atachapiwa weekend hii, maana nimepata mwaliko toka kwa mkewe niende kumchakata..
Utachakata wote utamaliza?Jina lenyewe sexless
 
Nenda na mafuta kijana wanaume wa mikoani tuki kunasa hatu tafuti wese,uta toa povu la omo kwa mate
 
Uzi wangu mm siyo masihara. Niko serious. Hivyo kila mwanaume wa Dar aliye na mke mikoani afanye jitihada za kumlinda mkewe weekend hii
Aya mkuu uende na kilainishi maana hujui siku wala saa
 
Poleni wanaume wote ambao wake zenu wako mbali nanyi. Hakika mnaibiwa sana.

Weekend hii ni zamu ya wanaume wa Dar ambao wake zao wako mikoani. Mmoja wa wanaume hao atachapiwa weekend hii, maana nimepata mwaliko toka kwa mkewe niende kumchakata..

Unajikomoa
 
Ulete mrejesho ukichakatwa ww endapo mambo yakienda kombo
 
Back
Top Bottom