Kama USA Urais ni taasisi mbona Trump anajifanyia anavyotaka?

Maamuzi mengi anayitangaza haimaanishi ndio yamepita, lazima yapitie mchakato
 
Mara afukuze wafanyakazi anavyotaka, Mara aajiri anavyotaka, Mara ayafute mashirika anavyotaka,

Mara aifute mikataba ya watangulizi wake hovyohovyo,

Leo tena ameamuru sarafu flani isitengenezwe tena.

Sasa hii imekaaje?!! Kumbe uraisi Raha sana.
Umeuliza swari fikilishi lenye vielelezo…
 
hakuna kitu kama taasisi dunia hii, dunia nzima raisi ndiyo kila kitu, ingekuwa ni hivyo kama mnavyodanganyana tanzagiza sijui taasisi na upuuzi mwingine watu wasingetumia nguvu kubwa kuupata uraisi.

raisi ndiyo taasisi yenyewe na yuko responsible na kila kitu, tanzagiza mnadangaywa ili kumuondolea raisi lawama ambazo anahusika kwa 100% kwa kila kitu …
 
Mara afukuze wafanyakazi anavyotaka, Mara aajiri anavyotaka, Mara ayafute mashirika anavyotaka,

Mara aifute mikataba ya watangulizi wake hovyohovyo,

Leo tena ameamuru sarafu flani isitengenezwe tena.

Sasa hii imekaaje?!! Kumbe uraisi Raha sana.
Huwasikii wakisema , "Tunataka Katiba mpya" ety kwasababu Rais ana madaraka makubwa.

Unduminakuwili
 
Mara afukuze wafanyakazi anavyotaka, Mara aajiri anavyotaka, Mara ayafute mashirika anavyotaka,

Mara aifute mikataba ya watangulizi wake hovyohovyo,

Leo tena ameamuru sarafu flani isitengenezwe tena.

Sasa hii imekaaje?!! Kumbe uraisi Raha sana.
Ameweza kukubalika mabaraza yote,na taasisi ya uraisi hivyo hajatumia wala kutegemea chawa,hivyo acha ajimwambafai vilivyo kwa kujiachia kwani hamna mchawi anayeweza kitatiza mbele yake kwa mazingira akiyonayokwa sasa.
 
Huyu jamaa mpaka amalize kipindi chake cha utawala dunia itaona mengi.

Hamas wajipange kwa vihoja vya hapa na pale huku Afrika tukitakiwa kufunga mikanda

NOTE:Yesu yu karibu tubuni na kuishi maisha mema
 
hakuna kitu kama taasisi dunia hii, dunia nzima raisi ndiyo kila kitu, ingekuwa ni hivyo kama mnavyodanganyana tanzagiza sijui taasisi na upuuzi mwingine watu wasingetumia nguvu kubwa kuupata uraisi.

raisi ndiyo taasisi yenyewe na yuko responsible na kila kitu, tanzagiza mnadangaywa ili kumuondolea raisi lawama ambazo anahusika kwa 100% kwa kila kitu …
Sema Marekani wana mifumo yao kiongozi labda kama itabadilika kipindi hiki
 
vyovyote vile, raisi ndiyo kila kitu, hakuna kilichowahi kubadirika, tofauti ni media tu wanavyoripoti, kila raisi huanza na hizo executive orders, obama alizimwaga, biden naye alizimwaga kwa idadi karibia sawa na D.Trump walivyoingia tu, i mean kama raisi wa USA asingekuwa na power kama mnavyoamini kwa nini unafikiri wanatumia mpaka billions kuwa raisi wa USA ? si wangeishia usenata au house of rep tu? au sijui mahakama na ma justice? unafikiri kwa nini mabilionea akina musk wako pmj na raisi ?

dunia nzima ni hivyo na ndiyo maana kuna elections …
 
Rais wa Marekani kama marais wengine anakuwa na power ndio maana kuna vitu anaweza fanya mwenyewe au vingine mpaka senate au congress waseme lao.

Sema huyu kuna namna anaanza kuleta mauza uza sasa.Mfano,speech yake ya juzi kati kwa Hamas na Gaza kwa ujumla ni kama anataka kutangaza vita huko(kitu ambacho kwake sio jukumu lake labda atumie mamlaka yake vibaya)
 
binafsi mambo ya hamas au sijui gaza hayanihusu na wala sijali, tuko mbali nao, jirani zangu Kongo watu wetu wanateseka hilo linanisumbia, …
 
Mara afukuze wafanyakazi anavyotaka, Mara aajiri anavyotaka, Mara ayafute mashirika anavyotaka,

Mara aifute mikataba ya watangulizi wake hovyohovyo,

Leo tena ameamuru sarafu flani isitengenezwe tena.

Sasa hii imekaaje?!! Kumbe uraisi Raha sana.
Trump is erratic president
 
binafsi mambo ya hamas au sijui gaza hayanihusu na wala sijali, tuko mbali nao, jirani zangu Kongo watu wetu wanateseka hilo linanisumbia, …
Badala ufuatilie simba na yanga we uko bize na kongo, itakusaidia nini
 
nina ndugu Kongo hivyo ni muhimu kwangu kujali ila sina ndugu gaza au sijui hamasi, kwangu ni mbali sana, siyo dunia yangu …
 
Back
Top Bottom