Kama ushapitia hatua hata moja kati ya hizi wewe ni chizi

Mbili na nne imenitokea ila nimecheka nilipoikuta hiyo namba sita maana hiyo nilikuwa nafanya mara kwa mara eti kujidai mtafiti[emoji38]
Namba sita

Bila shaka wewe ni fundi chokonoa sasa wakati huo kipaji kilikua kinaanza kuonekana kupitia utafiti wako.
 
Ukinistukiza naongea na mbwa wangu na kuku ni chizi kamili wakati mwingine huwa najishtukia mwenyew.
Yapo mengi huwa nayafanya nikiwa peke angu yenye viashiria vya uchizi ndani yake kwa hiyo mimi nichizi ninaejitambua kuwa ni chizi.
 
Kila mtu ni chizi viwango tu ndo hutofautiana mfano aliyerogwa akawa chizi yule ni chizi %100
 
Inasemekana kila binadamu ana ka uchizi ndani yake level ndo hutofautiana na chizi sio mpaka aokote makopo!

1. Kama umewahi kushika kopo la maji bafuni na kuhesabu 1, 2 mpaka 3 ndo ukajimwagia huku ukiruka ruka wewe ni Chizi.

2. Kama umewahi kutumia line yako no 1 kujipigia kwenye line yako no 2 wewe ni chizi.

3. Kama umewahi kuongea peke yako ghafla ukaona mtu anakuangalia ukazuga unaimba wewe ni chizi.

4. Kama uliwahi sahau pesa yako kwenye mfuko wa nguo ukaja kuiona wakati wa kufua ukafurahi sana na kuhisi kama mtu kakuhonga wewe ni chizi.

5. Kama uwa unaongea na mende au panya tena unamuuliza maswali kabla hujamuua wewe ni chizi

6. Kama umewahi Ku balance switch ya taa katikati ili uone kama taa itazimika au itaendelea kuwaka wewe ni chizi
Dah so me ni chizi.......?!

Pia umesahau ukuweka kidole kwenye pangaboya la feni ya kusimama ile then kutest kulisimamisha.

Pia kukaa karibu na feni kisha kuweka sauti usikie inavyo katwa na upepo wa pangaboya...
 
Inasemekana kila binadamu ana ka uchizi ndani yake level ndo hutofautiana na chizi sio mpaka aokote makopo!

1. Kama umewahi kushika kopo la maji bafuni na kuhesabu 1, 2 mpaka 3 ndo ukajimwagia huku ukiruka ruka wewe ni Chizi.

2. Kama umewahi kutumia line yako no 1 kujipigia kwenye line yako no 2 wewe ni chizi.

3. Kama umewahi kuongea peke yako ghafla ukaona mtu anakuangalia ukazuga unaimba wewe ni chizi.

4. Kama uliwahi sahau pesa yako kwenye mfuko wa nguo ukaja kuiona wakati wa kufua ukafurahi sana na kuhisi kama mtu kakuhonga wewe ni chizi.

5. Kama uwa unaongea na mende au panya tena unamuuliza maswali kabla hujamuua wewe ni chizi

6. Kama umewahi Ku balance switch ya taa katikati ili uone kama taa itazimika au itaendelea kuwaka wewe ni chizi
Mi nshafanya yoote hayo
 
Sasa We umeyajuaje yote hayo kama si ndondocha au zwazwa hahahahah
 
Kama umeme umekatika na upo NDANI ukaogopa kutoka nje, na siku nyingine umeme unakatika na ukiwa nje na ukaogopa kuingia ndani kisa GIZA.. wallah Milembe kwako..
 
Inasemekana kila binadamu ana ka uchizi ndani yake level ndo hutofautiana na chizi sio mpaka aokote makopo!

1. Kama umewahi kushika kopo la maji bafuni na kuhesabu 1, 2 mpaka 3 ndo ukajimwagia huku ukiruka ruka wewe ni Chizi.

2. Kama umewahi kutumia line yako no 1 kujipigia kwenye line yako no 2 wewe ni chizi.

3. Kama umewahi kuongea peke yako ghafla ukaona mtu anakuangalia ukazuga unaimba wewe ni chizi.

4. Kama uliwahi sahau pesa yako kwenye mfuko wa nguo ukaja kuiona wakati wa kufua ukafurahi sana na kuhisi kama mtu kakuhonga wewe ni chizi.

5. Kama uwa unaongea na mende au panya tena unamuuliza maswali kabla hujamuua wewe ni chizi

6. Kama umewahi Ku balance switch ya taa katikati ili uone kama taa itazimika au itaendelea kuwaka wewe ni chizi
Mkwe wangu ana karibia Sifa zote ulizotaja hapa Ndugu hivyo si vibaya nami nikajiandaa tu Kumrudishia Binti yake kwani atakuwa amerithi yote.
 
Inasemekana kila binadamu ana ka uchizi ndani yake level ndo hutofautiana na chizi sio mpaka aokote makopo!

1. Kama umewahi kushika kopo la maji bafuni na kuhesabu 1, 2 mpaka 3 ndo ukajimwagia huku ukiruka ruka wewe ni Chizi.

2. Kama umewahi kutumia line yako no 1 kujipigia kwenye line yako no 2 wewe ni chizi.

3. Kama umewahi kuongea peke yako ghafla ukaona mtu anakuangalia ukazuga unaimba wewe ni chizi.

4. Kama uliwahi sahau pesa yako kwenye mfuko wa nguo ukaja kuiona wakati wa kufua ukafurahi sana na kuhisi kama mtu kakuhonga wewe ni chizi.

5. Kama uwa unaongea na mende au panya tena unamuuliza maswali kabla hujamuua wewe ni chizi

6. Kama umewahi Ku balance switch ya taa katikati ili uone kama taa itazimika au itaendelea kuwaka wewe ni chizi
Kwenye 2. Naomba tuheshimiane mkuu.

Chizi mwenyewe
 
Back
Top Bottom