Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba sitaMbili na nne imenitokea ila nimecheka nilipoikuta hiyo namba sita maana hiyo nilikuwa nafanya mara kwa mara eti kujidai mtafiti[emoji38]
Wewe jistukie tuu!Chizi mwenyewe[emoji23][emoji23]
Kila mtu ni chizi viwango tu ndo hutofautiana mfano aliyerogwa akawa chizi yule ni chizi %100Ukinistukiza naongea na mbwa wangu na kuku ni chizi kamili wakati mwingine huwa najishtukia mwenyew.
Yapo mengi huwa nayafanya nikiwa peke angu yenye viashiria vya uchizi ndani yake kwa hiyo mimi nichizi ninaejitambua kuwa ni chizi.
Dah so me ni chizi.......?!Inasemekana kila binadamu ana ka uchizi ndani yake level ndo hutofautiana na chizi sio mpaka aokote makopo!
1. Kama umewahi kushika kopo la maji bafuni na kuhesabu 1, 2 mpaka 3 ndo ukajimwagia huku ukiruka ruka wewe ni Chizi.
2. Kama umewahi kutumia line yako no 1 kujipigia kwenye line yako no 2 wewe ni chizi.
3. Kama umewahi kuongea peke yako ghafla ukaona mtu anakuangalia ukazuga unaimba wewe ni chizi.
4. Kama uliwahi sahau pesa yako kwenye mfuko wa nguo ukaja kuiona wakati wa kufua ukafurahi sana na kuhisi kama mtu kakuhonga wewe ni chizi.
5. Kama uwa unaongea na mende au panya tena unamuuliza maswali kabla hujamuua wewe ni chizi
6. Kama umewahi Ku balance switch ya taa katikati ili uone kama taa itazimika au itaendelea kuwaka wewe ni chizi
Mi nshafanya yoote hayoInasemekana kila binadamu ana ka uchizi ndani yake level ndo hutofautiana na chizi sio mpaka aokote makopo!
1. Kama umewahi kushika kopo la maji bafuni na kuhesabu 1, 2 mpaka 3 ndo ukajimwagia huku ukiruka ruka wewe ni Chizi.
2. Kama umewahi kutumia line yako no 1 kujipigia kwenye line yako no 2 wewe ni chizi.
3. Kama umewahi kuongea peke yako ghafla ukaona mtu anakuangalia ukazuga unaimba wewe ni chizi.
4. Kama uliwahi sahau pesa yako kwenye mfuko wa nguo ukaja kuiona wakati wa kufua ukafurahi sana na kuhisi kama mtu kakuhonga wewe ni chizi.
5. Kama uwa unaongea na mende au panya tena unamuuliza maswali kabla hujamuua wewe ni chizi
6. Kama umewahi Ku balance switch ya taa katikati ili uone kama taa itazimika au itaendelea kuwaka wewe ni chizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama unayajua yote hayo wewe ni kichaa kabisa.
Yaani wewe usiyejua yote hayo, inaonyesha ushafanya yote na hujui kama umeyafanya... yaani wewe ndo chizi wa machiziSasa We umeyajuaje yote hayo kama si ndondocha au zwazwa hahahahah
Tena atakuwa chizi kichiziYaani wewe usiyejua yote hayo, inaonyesha ushafanya yote na hujui kama umeyafanya... yaani wewe ndo chizi wa machizi
Mkwe wangu ana karibia Sifa zote ulizotaja hapa Ndugu hivyo si vibaya nami nikajiandaa tu Kumrudishia Binti yake kwani atakuwa amerithi yote.Inasemekana kila binadamu ana ka uchizi ndani yake level ndo hutofautiana na chizi sio mpaka aokote makopo!
1. Kama umewahi kushika kopo la maji bafuni na kuhesabu 1, 2 mpaka 3 ndo ukajimwagia huku ukiruka ruka wewe ni Chizi.
2. Kama umewahi kutumia line yako no 1 kujipigia kwenye line yako no 2 wewe ni chizi.
3. Kama umewahi kuongea peke yako ghafla ukaona mtu anakuangalia ukazuga unaimba wewe ni chizi.
4. Kama uliwahi sahau pesa yako kwenye mfuko wa nguo ukaja kuiona wakati wa kufua ukafurahi sana na kuhisi kama mtu kakuhonga wewe ni chizi.
5. Kama uwa unaongea na mende au panya tena unamuuliza maswali kabla hujamuua wewe ni chizi
6. Kama umewahi Ku balance switch ya taa katikati ili uone kama taa itazimika au itaendelea kuwaka wewe ni chizi
Tuelekeze ulipo. Tunakuja na kamba maana hali yako ni mbaya sanaNumber 6 nimeifanya sana mkuu mpaka switch ilikuwa inapiga kelele!
Kwenye 2. Naomba tuheshimiane mkuu.Inasemekana kila binadamu ana ka uchizi ndani yake level ndo hutofautiana na chizi sio mpaka aokote makopo!
1. Kama umewahi kushika kopo la maji bafuni na kuhesabu 1, 2 mpaka 3 ndo ukajimwagia huku ukiruka ruka wewe ni Chizi.
2. Kama umewahi kutumia line yako no 1 kujipigia kwenye line yako no 2 wewe ni chizi.
3. Kama umewahi kuongea peke yako ghafla ukaona mtu anakuangalia ukazuga unaimba wewe ni chizi.
4. Kama uliwahi sahau pesa yako kwenye mfuko wa nguo ukaja kuiona wakati wa kufua ukafurahi sana na kuhisi kama mtu kakuhonga wewe ni chizi.
5. Kama uwa unaongea na mende au panya tena unamuuliza maswali kabla hujamuua wewe ni chizi
6. Kama umewahi Ku balance switch ya taa katikati ili uone kama taa itazimika au itaendelea kuwaka wewe ni chizi
🤣🤣🤣 Kizazi cha nyokaUchizi wangu mi ni xvideos jamani
Ndo ni nini??Ko ndo ninii?