Kama ushawahi kuachwa kihivi, njoo utupe mkasa

Iliisha kama ilivoanza
 
Hahahahahah
HahahahahahahahaHahahahahahahahaha
 
Birthdays sio nzuri kwako!
 
Underdog
 
Mwanaume hadi kakupig ila bado wewe upo tu? Kitu ambacho sitakuja kukifanya ni kupiga mwanamke
 
Niliacha mtu aliyekuwa ananiposa nikadai ilikuwa kimasiara ili nipewe fulsa sema hiyo fulsa haikukubalika tena kuipewa mimi .
When you want to leave someone don't show him you are true colour we kaa kimya tu ili uangalie na huku kupya kutakuwaje??
Maana unaweza kosa kotee.
 
Siku ya tatu leo naona hapa nimeshakula kibuti. Huyu dada nafanya nae kazi baada ya janga la Corona Kuna wafanyakazi walipewa likizo wengine tumebaki tunapiga kazi.

Nimechukua zangu likizo ya wiki mbili niende home naona mtu Kama amepungua mawasiliano na mimi. Najaribu kumuuliza shida kitu gani anasema kuna siku ataniambia. Mimi nikaona nikae kimya labda ataanza kunitafuta but wajuba navyoongea hapa ndo naona yupo kimya mazima nami nimetulia japo naumia skwa ndani. Najua hapa sina changu.

Kinachoniumiza ntawezaje kuishi pale kazini na yeye pindi ataporudi maana yupo karibu kurudi.
 
[emoji23][emoji23] dah
 
Hivi ndivyo wanaume wote tunatakiwa kuwa.
 
X:"Namge naomba tuachane..."
Me: Hahahaaaa..u can't be serious! Why love.
X:we ni mpole Sana... I love rude boy and yo ain't that person.. I don't feel like
Me: like seriously..
X: yeah just try to understand..
Kama masihara.. aseeee upole ukaniponza..
When u truly love..
Miaka imesonga Leo huwa ananiona dhahabu..she regrets and it's too late.
 
JF ya sasa inakera kama nini, unascrol page moja tu comments zingine hazionekani. Kama mnataka kuifunga si muifunge tu tujue imeisha
Lawama za nini na unaweza kurudi kwenye ile ya zamani? Au hujui hilo?cheki pale chini..
 
Hiyo imeshakuwa chakula ya wakubwa, achana nae jombaaa usipoteze mda, mmwanaume ni pamoja na kuvumilia mikikimikiki kama hiyo.
 
Uwiiiiiiiiii jamani pooe sana

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
mimi nilipigiwa cm tena siku ya krismas nikaambiwa kuanzia leo mm na ww basi hufai kuwa mwanaume wangu kuuliza sababu nikapewa kuwa sijali wala kutamfuta mara kwa mara basi nikamwambie mama amna shida maisha mema mungu akubaliki nikafuta na namba cha aajabu saiv ananitafuta tena nilicho mwambia endelee na maisha yako never turn back behind is to dangerous for you , you cant watch my movement now
 
Basi karibuni nimeachika. Acheni kabisa. Nilidata karibu two weeks. Kuachwa kunauma hasa kama ulipenda kweli. Yule kaka wa Kicongo aliniweza sana wallah. Alinifanya mpaka niache sehemu niliyokua naipenda aliponipeleka ili tu nisimuone.

Nimepona kidogo, sijui nikikutana nae tena nitajisikiaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…