Kama ushawahi kuachwa kihivi, njoo utupe mkasa

Kama ushawahi kuachwa kihivi, njoo utupe mkasa

Nakumbuka Ilikuwa Mwaka Jana Mwezi Wa 6 Hivi...Nilikuwa Nimelala Zangu Mida Ya Mchana Mara Text Ikaingia...

"Samahani Sana Kwa Message Hii,Ila Itabidi Kulizika Hili Penzi,Najua Napoteza MTU Muhimu Sana But Ndo Hivyo Inabidi Tuachane Tu Kwani Siitaji Kuwa Na Mpenzi Tena Mpaka Hapo Baadae....!!

Kidume Nilivyomaliza Kuisoma Usingizi Ukaja Tena Nikalala....sikukumbuka Tena kama Nimeachwa!!!

JE, Ushawahi Kuachwa Kwa Message Wewe?😂
Hahaha
 
Basi karibuni nimeachika. Acheni kabisa. Nilidata karibu two weeks. Kuachwa kunauma hasa kama ulipenda kweli. Yule kaka wa Kicongo aliniweza sana wallah. Alinifanya mpaka niache sehemu niliyokua naipenda aliponipeleka ili tu nisimuone.

Nimepona kidogo, sijui nikikutana nae tena nitajisikiaje.
Pole
 
Kuna mwanamke aliwahi kuniandikia message ya hivyo aisee! Ile nimemaliza kuisoma tu, nikavuta pumzi ndefu nikatulia.

Nikampigia simu, nikamuuliza hii message ni ya kwangu au imekosewa kutumwa? Akajibu ni ya kwako. Nikakata na simu bila kuongeza neno. Sikupenda kubembeleza maamuzi yake wala kudadisi.

Baada ya siku nne, nilishangaa kuona sms nyingi za kuomba msamaha, sikujibu hata moja. Alipiga simu kibao na sikupokea kabisa. Nilimfowadia ile sms ya kuachana nikaongeza na sms moja tu " Nimeshapata mwingine ".

Alipokuja kuonana nami, nilimwambia 'usivunje mapenzi na mtu wako kwa ahadi za bwana mpya'. Wengine hatuumii kwa kuachwa bali tunasikitika tena kidogo tu.
Japokuwa tulikuwa tunakulana ila penzi halikunoga tena. Maana sikumuamini tena hata 20%

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliendelea kula tunda au sio. Dah huyo demu safi sana. Nipe namba yake
 
Mimi nikaomba mchezo kaniambia sasa hivi hatoi mbunye hivyo tuwe wa maongezi tu, kwa akili y kawaida nikjua tayari kashapata mtu. Kumbe kuna jamaa alikuwa analeta maziwa kwao ndio jamaa ameanza harakati, basi alikuwa na rafiki yake mkali kuliko hata yeye nikaanza kumsalandia, demu aliludi kwangu wanguwangu.

Nami sikuwa na time nae nilichokifanya nikawa nachezea mbunye tu.

Mapenzi mkiachana harafu mkarudiana hata hayanogi
 
Nilipo kuwa chuo niliachwa kwa sms, nakumbuka ilikua mida ya saa12 jioni, Mara sms ikaingia, kusoma naona risala ndefu yakuachwa bila sababu yoyote, mwishoni anaandika eti usichukue maamuzi mabaya. Nilicheka moyonj nikasema huyu hanijui Mimi. Basi sikuwaambia hata room mates wangu, nilichofanya nilibeba madesa yangu nakuelekea seminar rooms kusoma, nikasema nikienda library naweza kuonana nae. Room mates walienda library, akawafata nakuwauliza , mbona mmemwa cha mwenzenu peke yake je ! akifanya jambo baya la kujidhuru?, wakamuuliza kwani kafanya nini? akajibu nimemwacha. Wakabaki wanashangaa , wakamwabia mbona hayupo room ameenda kusoma, alivyo sikia vile hakuamini ilibidi anitafute , ahakikishe, alinikuta napiga kitabu na niko norm. Akabaki anashangaa, tukapiga story mbili tatu, wala sikumgusia kuhusu kiniacha. Yaani nilikua na hasira moyoni, na hasira yangu iliishia kwenye kitabu, nahivi tulikua tunajiandaa na UE. Matokeo yalipo toka nilipiga balaa kuliko mitihani yote, yeye akapata sup 3, wale wenzangu nao wakawa na sup za kutosha. Alipoona matokeo yangu hakuamini, akanipigia na kusema hakufikiria kama nitafaulu vile alijua nitadisco .Tukabakia marafiki tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungemsaidia hizo sup sasa huku unazamisha tango lako kwa mbususu yake
 
Mimi nikaomba mchezo kaniambia sasa hivi hatoi mbunye hivyo tuwe wa maongezi tu, kwa akili y kawaida nikjua tayari kashapata mtu. Kumbe kuna jamaa alikuwa analeta maziwa kwao ndio jamaa ameanza harakati, basi alikuwa na rafiki yake mkali kuliko hata yeye nikaanza kumsalandia, demu aliludi kwangu wanguwangu.

Nami sikuwa na time nae nilichokifanya nikawa nachezea mbunye tu.

Mapenzi mkiachana harafu mkarudiana hata hayanogi
Kwa hiyo mbushsu ulikuwa unakula lakini sio tamu 🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Nitarudi
1000019674.jpg
 
Nakumbuka Ilikuwa Mwaka Jana Mwezi Wa 6 Hivi...Nilikuwa Nimelala Zangu Mida Ya Mchana Mara Text Ikaingia...

"Samahani Sana Kwa Message Hii,Ila Itabidi Kulizika Hili Penzi,Najua Napoteza MTU Muhimu Sana But Ndo Hivyo Inabidi Tuachane Tu Kwani Siitaji Kuwa Na Mpenzi Tena Mpaka Hapo Baadae....!!

Kidume Nilivyomaliza Kuisoma Usingizi Ukaja Tena Nikalala....sikukumbuka Tena kama Nimeachwa!!!

JE, Ushawahi Kuachwa Kwa Message Wewe?😂
Hujapenda wewe....najua Kuna kupenda / kupendwa.

Unakonda mpaka unabakia moja...zinapita siku mbili Hadi tatu hujala..

Now We are very strong 💪 than ever.
 
Mi niliacha kimasihara na beby wangu mpk leo bado nampenda ,

Ujinga ulikuwa wangu kuna maneno ya chumban niliyatoa nikasimulia mashoga zangu mtaaani

Basi alivyoyasikia wala hakuniuliza alichofanya ....akasubirj nimemaliza kula , tukaenda kuoga , akanigonga na kimoja tukarudi citing room

Akaniambia beby kuanzia leo mm na ww bac its over tabia yako nimekuonya lakini hutaki kuziacha kweli kwa kipindi kile nilikuwa na tabia za uwongo uwongo

Yaani sikuamini alinifukuza nikagoma kutoka akaniwasha vibao ndio nikajua kuwa yupo serious , nilichezea vitasa nikajikuta nimetoka ndani akanionea huruma

Akwasha gari yake mpk gheton kwangu sikuamini yaani akanisindikiza mpk ndani na maji ya kunywa akaniomba nikampa akanywa akasema maisha mema nilioma kama ndoto

Nililiiia nakumbuka ndio naujauzito wake mchanga , jamaa alikuwa haaamini kbs km nina ujauzito kutoka na tabia za kumdanganya mambo mengi

Mpk niliugua haipertension , ujauzito ukatoka !! Nikabaki kuwa naonana naye kazini

Mpk sasa nampenda japo yupo relation nyingine ila natamani sana abadili msimamo na mawazo yake , sikuwah kupata mwaume kama D wangu

Sio hekima ,busara,kutunza anajali kwenye game ndio usiseme mpk kiu ya maji inakukamata

Najilaumu sana ila ndiyo imetokea japo huwa na mmmisi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetisha Sana 😂
 
Back
Top Bottom