Kama ushawahi kukutana na mkaka mtanashati sana Dar hadi ukashikwa na butwaa basi ujue alikuwa mimi

Safi hivo ndio inavyotakiwa kujikubali mwenyewe kwanza
 
Utakapokua utagundua kumbe wala watu huwa hawajali sana kuhusu ww.
 
Bila picha huu Uzi ni batili weka Picha hata ya mfano wa mtandao mfano T.I, JASON DELURO,PAW WALKER R.I.P
 
Naona umeweka tangazo lako kijanja, na kwa tahadhari kubwa!
 
Wazee wa viboga kazi kwenu mboga hii hapa
 
Hela vipi unazo,maana kuna watu sio watanashati ila pesa zao tu zinawafanya watu wanashikwa na butwaa,na inawezekana watu wanakushangaa mtanashati halafu huna hela...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…