Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
MKUU MARINDA YAPO AU HAMNA (namaansha kwenye nguo surual yako ya ktambaa)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi hivo ndio inavyotakiwa kujikubali mwenyewe kwanzaKuna members wengi wameshawahi niona mtaani sema hawajui kama ni mimi.
Kama unaishi Dar na umeshawahi kukutana na mkaka mtanashati sana handsome, tall, great manly features hadi ukashikwa na butwaa, bas ujue ndio mimi.
Maeneo mengi ninayoendaga hua na catch attention ya watu hadi sio poa, niliookuaepo watu lazima watahizi uwepo wangu.
Uzuri ni kuwa, hata upstairs niko vizuri sana.
Yaani unataka tu tuamini maneno yako? Hebu weka picha kwa faida ya wote
Utakapokua utagundua kumbe wala watu huwa hawajali sana kuhusu ww.Kuna members wengi wameshawahi niona mtaani sema hawajui kama ni mimi.
Kama unaishi Dar na umeshawahi kukutana na mkaka mtanashati sana handsome, tall, great manly features hadi ukashikwa na butwaa, bas ujue ndio mimi.
Maeneo mengi ninayoendaga hua na catch attention ya watu hadi sio poa, niliookuaepo watu lazima watahizi uwepo wangu.
Uzuri ni kuwa, hata upstairs niko vizuri sana.
Uzee mwisho chalinzeView attachment 3133143
Hakika umependeza.
Bila picha huu Uzi ni batili weka Picha hata ya mfano wa mtandao mfano T.I, JASON DELURO,PAW WALKER R.I.PKuna members wengi wameshawahi niona mtaani sema hawajui kama ni mimi.
Kama unaishi Dar na umeshawahi kukutana na mkaka mtanashati sana handsome, tall, great manly features hadi ukashikwa na butwaa, bas ujue ndio mimi.
Maeneo mengi ninayoendaga hua na catch attention ya watu hadi sio poa, niliookuaepo watu lazima watahizi uwepo wangu.
Uzuri ni kuwa, hata upstairs niko vizuri sana.
Ulipotea 😃Yaani unataka tu tuamini maneno yako? Hebu weka picha kwa faida ya wote
Naona umeweka tangazo lako kijanja, na kwa tahadhari kubwa!Kuna members wengi wameshawahi niona mtaani sema hawajui kama ni mimi.
Kama unaishi Dar na umeshawahi kukutana na mkaka mtanashati sana handsome, tall, great manly features hadi ukashikwa na butwaa, bas ujue ndio mimi.
Maeneo mengi ninayoendaga hua na catch attention ya watu hadi sio poa, niliookuaepo watu lazima watahizi uwepo wangu.
Uzuri ni kuwa, hata upstairs niko vizuri sana.
“We bring you to the studio one of the gey right activist”
Wazee wa viboga kazi kwenu mboga hii hapaKuna members wengi wameshawahi niona mtaani sema hawajui kama ni mimi.
Kama unaishi Dar na umeshawahi kukutana na mkaka mtanashati sana handsome, tall, great manly features hadi ukashikwa na butwaa, bas ujue ndio mimi.
Maeneo mengi ninayoendaga hua na catch attention ya watu hadi sio poa, niliookuaepo watu lazima watahizi uwepo wangu.
Uzuri ni kuwa, hata upstairs niko vizuri sana.
unajua maandishi yaliandikwaje lakini mwanakwaya?Huyo ni mimi usichanganye, lenye maandishi ya parokia ile ilikua sare ya wanakwaya.
Hela vipi unazo,maana kuna watu sio watanashati ila pesa zao tu zinawafanya watu wanashikwa na butwaa,na inawezekana watu wanakushangaa mtanashati halafu huna hela...Kuna members wengi wameshawahi niona mtaani sema hawajui kama ni mimi.
Kama unaishi Dar na umeshawahi kukutana na mkaka mtanashati sana handsome, tall, great manly features hadi ukashikwa na butwaa, bas ujue ndio mimi.
Maeneo mengi ninayoendaga hua na catch attention ya watu hadi sio poa, niliookuaepo watu lazima watahizi uwepo wangu.
Uzuri ni kuwa, hata upstairs niko vizuri sana.
Ombeni nanyi mtapewaunajua maandishi yaliandikwaje lakini mwanakwaya?
Hilo neno 'chapi' liweke upside down utalielewa.Chapi ni nini?