Kama utaenda Kununua Dada poa"Malaya" basi zingatia haya

Kama utaenda Kununua Dada poa"Malaya" basi zingatia haya

Hii point namba 4 nayo napingana nayo vikali,

4. Usifike na kuchagua papohapo. Bali fika na usimame umbali kidogo utakaokuruhusu kuwaona vizuri na kuchagua umtakae. Usiwakaribie kabla hujachagua ukiwa Mbali.
Zingatia kanuni hii.

Huwez ukawa mnunuaji mzoefu eti sokoni ukachagulie kwa mbali kisha ukafike unambeba uondoke nae.

Utakuja kubeba majini, au wale wenye vigodoro vya sponji.

Malegendary,
Husogea kabisa eneo la tukio,
unaacha wote wasogee Kisha kwa utulivu kabisa bila kuongea chochote unachagua mmoja baada ya mwingine.

Utakayemuelewa zaidi unamvuta pembeni Kisha unamuomba kwenda nae kupata boosta (kilaji).
Akikubali atakupa Bei YAKE nje ya boosta. Mnakubaliana kabisa pale pale.

Mkishindwana unamuacha pale pale, ila akikubali unaenda kumshughulikia kwa Bei na huduma mlizokubaliana.
Hiyo point ni nzuri sana kahaba siyo nyanya unapokua umekaa kwa mbalii una mcheck utaona vyote hakunakitu kibaya kama una chukua kahaba na anakua katoka kutumika
 
Pia usiruusu kahaba achezee simu yake kwasb anaweza kukurecord video au picha akatumia kama turufu ya kutisha na kijpatia pesa
 
Nmekusoma vizur point to point,

Kuna vitu Umeandika uko sahii Sana, Nakupongeza Sana kwa hili.

ILa Kuna vingine umeandika havipo kabisa katika hii tasnia.

Tunaskiaga Vinaongelewaga Sana vijiweni ,makanisani au majumbani tulipokua tukiaswa tusiende maeneo ayo kwamba kule wanafanyaga hivi na vile kututisha tusitumbukie kwny huo uraibu , ila kiuhalisia hata havipo.

Ni kutiana hofu TU[emoji4]
Noma sana!
 
One of the best post i ever read ...Big up [emoji106]
 
Mojawapo ya maombi ya mama wajawazito
Ni pamoja na kumtamkia mwanao akiwa tumboni atengwe na uovu kama huo!

Ndugu zangu tuombe sana Mwenyezi Mungu atuepushe na uovu Kaisi hicho !
 
Eti mnaamini kufanya ngono na malaya kwa condoms kuwa inasaidia?

Kwanza hizo condoms mmepata elimu juu ya kuzitumia kwa ufanisi?

Hivi hamna kinyaa kulala na vya wote ?
 
Wengine wana ile Roho ya kutaka na wengine wapate .

Wengine hawana cha kupoteza!
 
Ina simulizi nyingi sana hiyo namba 17
Ni hatari sana, kipindi cha zamani sana nilitembea na mwanamke flani mda sana, ulipita nikawa nina strugle kishenzi kwenye issue zangu zina fail kupita kiasi hela haikai.. Kwa huruma za Mungu nikaja kuota ndoto mwanamke amechukua manii yangu nikaona kayamwaga kaburini dah.. issue hii ni very hatari ingawa watu wanachukulia powa ili ni cost sana ile kitu .. 🥸🥸 Hatari sana kulala na mwanamke ovyo ovyo
 
Wewe ndio legendary bwana. Hakuna kama wewe kwenye hii tasnia. Wewe unajua kuwafikisha bwana. Wewe huogopi kitu, wewe ni professional kwenye hii sekta.

Hawakujui wewe, ukiwa dukani kwako na jamaa wako wa kirikuu anayekubebeaga mizigo ya wateja shop kwako una wapiga sana Hongera sana mkuu. Ngoja tukupongeze sasa legendary kabla hatujaja kukumbeleza ule machungwa hospitalini.
Sio kwa sifa hizi hahaaa
 
Ukimwi wengi wanapata kutoka kwa wale wanaowaamini sana.

Hasa Hawa wanawake wakuokota okota mitaani, hawa wanaolalwa ovyo ovyo kukumbuka kinga.

Makahaba wengi wanauogopa ukimwi balaa, hawamuamini mtu na lazima ukumbushwe kinga.

Ndo maana hata usipokua nayo au maduka wamefunga, atakupatia.

Na wengi wao hutembea nazo kabisa kwny mikoba yao na kukuuzia ww mwnyw.

Sasa labda uwe mgeni na uende nakiraruraru chako ukaupate mwnyw na sio usingizini makahaba

Napingana na jamaa[emoji4]
😂😂😂
 
Back
Top Bottom