nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,673
- 5,402
π π π π π qmmmmk, huu mwandiko ni wa mwenye jina hilo kweli!?We muombe ndogo, marinda ni sunna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π π π π π qmmmmk, huu mwandiko ni wa mwenye jina hilo kweli!?We muombe ndogo, marinda ni sunna.
Nyie ndio Mafundi mnakuja kupiga rangi nyumba za watu kumbe mnavizia wake za watuHabari za wakati huu wakubwa.
Jamani nimenasa kwenye penzi na Mmama mmoja mtu mzima.Japo siyo mara yangu ya kwanza ku date na hawa viumbe wakubwa , lakini kwa huyu daah.
Jinsi nilivyokutana naye
Mimi ni Fundi Rangi, gypsum board na skiming. Kama mnavyojua hizi kazi zetu siyo za kila siku, kuna wakati tenda ni nyingi na kuna wakati tunapigika mtaani siyo poa.
Mwaka jana mweza wa kumi na 11 ilikua ni miezi migumu kwangu, kazi hamna yaani ni kupewa tu ahadi na maboss lakin kazi hamna , labda siku moja moja upewe day na mafundi wenzako.
Tuachane na hayo , kuna siku moja nimekaa home mfukoni nimebaki na tsh 6000 tu na sijui nitaishi vipi kwa wiki nzima na hiyo hela. Basi kama utani hivi nilipigiwa simu na fundi mwenzangu mmoja, akanambia kuwa kuna kazi ya kupiga msasa nyumba ya tajiri balaah..
Basi nilikubali pale haraka, akaniunganisha na msimamizi wa hyo nyumba, tukaelewana bei. Baada ya kubageini bei tukakubaliana anilipe 250k, nyumba ilikua ina vyumba 6.
Nilitafuta vijana wangu wa kazi watatu ili ni wape day, basi bwana kesho yake siku ya ijumaa hao tukawahi kazini, sehem moja hivi panaitwa Bukanga (watu wa Musoma wanapajua ). Ile tunafika sehem waliyo tuelekeza niliishiwa pozi kabisa. yaani yule msimamizi alikua fala sana , eti tunafika anatuomba samahani eti boss wake kashapata wapiga msasa kutoka SIDO , fikiria kama ndiyo wewe upate huo usumbufu na ukizingatia kwenye ile buku sita yangu nilitoa buku tatu kwa ajili ya nauli yangu na vijana wangu.
Sikuona hata haja ya kubishana naye ingawa wale vijana wangu walitaka kumletea noma nikawazuia.
Tukiwa bado eneo la tukio bado tunashauriana tufanyeje , tuliamua kupumzika nje ya hiyo nyumba na hasira zetu. Hapo hapo jirani kulikua kuna msiba tulikua tunasubiria muda wa msosi twende tukamlie marehemu ubwabwa halafu tusepe zetu.
Kuna mzee mmoja alikuja pale tulipokua akatusalimia akatuuliza kama sisi ni mafundi, nikasema ndiyo basi akaniomba twende chemba tuongee.
Mungu siyo Asumani, mzee alinambia kuwa kuna kazi. Kulikua kuna nyumba ya mchungaji wa kanisa la kilokole ilitakiwa ipigwe brandaling, iwekwe body na iskimiwe pamoja na rangi kabisa tukabadilishana namba basi tukawa tumeachana akiahidi kunipa majibu.
Tuliondoka na vijana wangu kurudi kila mtu sehemu yake , na tulitembea siku hyo asee kilomita za kutosha ππ.
Basi jumatatu asubuhi saa moja moja hivi yule mzee alinipigia simu akanielekeza niende kanisani kwao kuona hiyo nyumba pia nipige na hesabu kabisa. Nilifika eneo la kazi nikapiga hesabu ya material na ufundi kabisa , ikumbukwe kwenye simu yule Mzee alinipanga kuwa pesa ya ufundi nimpe % kadhaa, maana yeye ndiyo kanipa tenda, siku mbishia maana aliniokoa sana na njaa.
Baada ya yote hayo kuisha niliambiwa kazi nianze siku inayofata kwani material tulienda kununua mimi pamoja na yule mzee akiwepo na muhazini wa kanisa. Yote kwa yote yule mzee ni noma , alipiga gaa za kutosha, uzuri waligawana wote yeye na muhazini.
Kwa vile kazi ilikua kubwa nilitafuta mafundi wengine pamoja na wale vijana wangu kazi ikaanza. Nili plan ndani ya wiki moja na nusu nikabidhi Kazi.
Sasa siku moja wakati tunafunga body sebuleni, kuna wamama wawili ni washiriki wa hilo kanisa , wakuja kuona jinsii kazi inavyoenda, walivutiwa sana na kazi wakawa wanatoa sifa kwetu kwa kazi nzuri. Mmoja wa wale kina Mama aliulizia fundi mkuu ni nani, basi nikaenda kumsikiliza. Tulitoka naye njee maana ndani kelele. Alinambia ana nyumba yake na yeye inatakiwa ifungwe body ila kwa awamu, nilisema sawa akanipa no yake basi wakawa wamesepa.
Niliona hiyo ni fursa imekuja kwahyo lazima nicheze nayo mapema, siku hiyo hiyo usiku nikiwa home mida ya saa tatu , nilimpigia yule Mama , ilipo pokea simu alinambia atanitafuta baadae maana alikuwa kwenye ibada.
Kwenye saa nne alinipigia nikajitambulisha kwake kuwa me ni fundi wa nyumba ya mchungaji, basi tukaongea kuhusu kazi akanambia siku ya kesho yake atanielekeza kwake nikaone hiyo kazi.
Kesho yake niliwapa maelekezo mafundi wenzangu halafu mimi nikaenda nyumbani kwa yule Mama kuona hiyo kazi, nilifika nikapiga hesabu za mbao na body na hela ya ufundi basi akanipa ahadi ya kuanza kazi next week.
Kwa wakati huo hata nilikua simtafuti kwenye simu hata yeye pia maana hatukuwa na mazoea kihivyo.
Zilipita kama wiki mbili yaani hata ile kazi ya kanisa tulikuwa tushamaliza, ndo akanichek kwenye simu , alitaka kesho yake niende kwake nianze kazi.
Nitarudi baade kumaliza sehemu ya mwisho.
Naam ni sunna.ila usikae na janabba baada ya hapokumbe kula nduku ni Sunna ππ
Kwamba katumwa na mungu, kudadekiππππ, Yani ukipata mbususu ya hadhi ya nyota tano unakuwa mwehuInaendelea ...
Basi bna baada ya kumfanyia huyo Mwana Mama kazi yake kwa awamu ya kwanza na ya pili , tulijikuta tu tumeanza kuchat, hasa yeye akitaka sana kujua kuhusu mimi.Nilimueleza kuhusu mimi na yeye akaniambia kuhusu yeye .
Acheni tu mapenzi yana kiherehere sana na hayana adabu.Ilikua ni mwezi wa Kwanza mwaka huu ,kuna siku katika chat chat zetu huyu Mama aliniuliza kama nina mke , nikamwambia ninaye lakin hatuishi pamoja , sababu pia nikampa basi akaelewa na me pia nikamuuliza kama yeye pia ana mume . Alinipigia simu akanambia kwanini nimeuliza hvyo , nikasema nimependa tu kujua.
Ali ni fungukia mengi kuhusu yeye , kuwa mme wake wana mwaka wa nne sasa hawako pamoja.nilimpa pole na tukaongea mambo mengine tukaagana.
Tulizidi kuwasiliana hatari yaani ilikua haipiti siku hajanitafuta au mimi kumtafuta.yaani nilikua naona raha sana tukiwasiliana cjui kwanini?, ila ndo hivyo mazoea yalizidi sana.
Mwezi huu wa pili nakumbuka ilikua inakarbia siku ya mfungo wa kwaresma , usiku wakati tuna chat kama kawaida, siku hiyo alikua anajaribu kunishawishi niwe mlokole lakin nilikataa .
Story ziliendelea nikawa nimemuliza swali kuwa hisia zake anajitibu vipi wakati hana mume.Alinambia kuwa hua ana muomba Mungu hisia zinakata π , hapo mwenyewe nikakosa cha kumwambia , maana nia yngu ilikua ya hovyo.
Nilimuomba anitumie picha zake Whatsapp ili niwe namuona , akasema hayuko whatsp lbda Facebook, basi akanipa jina lake nikamtafuta tukawa tuna chat huko, siku hiyo alinitumia picha zake nyingi tu na yeye akaniomba picha nikamtumia.
Cha ajabu akataka picha yangu niliyopiga muda huo, nilijifanya sijamuelewa nikamuuliza picha ya aina gani hyo anataka.Alinambia nipigie picha nikiwa kitandani daah ,nilipiga self nikamtumia lakin yeye akaendelea kudai nimtumie nikiwa fully ( nia yake nimtumie picha ya dudu langu ) , nilisema potelea pote ngoja nimtumie tu kwani shingapi.
Alivyoipata hyo picha picha aliamua kunipigia video call, alikua kajifunika shuka , nilimshawishi alitoe nimuone alivyoumbika , mama wa watu akajaa akajifunua nikaona kila kitu , sex ya simu ikafuata .Tulivyomaliza kuji save wenyewe tuliagana tukalala.
Kesho yake nilimuomba gemu akanambia atanipa baada ya mfungo kuisha , kuna siku namba ngeni ilinitafta whatsp kumbe alikuwa ni yeye .Alisema ameamua kutumia whatsp kwa ajili yangu.
Kila usiku ilikua ni mwendo wa video call,aisee nilikua naona mfungo unaenda taratibu ili tukulane.
Hayawi hayawi basi yakawa , ilikua ni wiki moja baada ya pasaka alinambia nimwambie mazingira ya home napoishi yapoje kwa maana anataka kunitembelea.
Nilimwambia akasema basi atakuja asubuhi ili jioni aende kwenye mambo yake.Wee sikuamini kama naenda kula mzigo tena mali safi.
Mmama wa watu alikuja mapema tu saa nne asubhi , siku hyo tuli sex sana , maana alikuwa na nyege pro max, tena badala ya kuondoka saa jioni , aliondoka saa nne usiku.
Huo ndo ukawa mwanzo wa penzi langu mimi na yeye rasmi.Kinacho fanya mpaka nizidi kumpeda kwanza hajawai niomba pesa , ana ni save sana pale napokwama .
Mimi mwanamke wangu nipo mbali naye huu mwezi wa kumi , sisemi kuwa ndo mara yangu ya kwnza ku cheat, ila kwa hili penzi la huyu Shangazi lina nifanya na msahau kabisa.hata niki sex na vibinti vingine siipati raha kama aliyo nayo huyu shangazi π
Kuingia nimeingia kama utani na nimeshindwa kutoka , yaani tokea nimekua naye napata sana tenda nahisi huyu katumwa na Mungu , sasa hivi penzi lilipofikia linaelekea kutokuwa la siri tena na tuko tayar kwa lolote.
Mwanamke wangu na mpenda ingawa yupo mbali lakin bado na future naye , lakni kwa huyu Mwana Mama nimedata.
Huyu Mama ana miaka 45 , Mama angu mzazi ana mzidi miaka mitano, na mimi ninaenda miaka 29.
kweli mapenzi hayachagui kwa kupenda.
Mwisho.
Nataka huyo wako maana ndio mwenye pesa sitaki kunyonywa damu bure ππnjoo nikupe mwingine
Ahahahashetani shindwaaa
π€£π€£π€£π€£πππnimepokea ushaur mkuu ila ni kweli kabisa , hata leo nilikua naye