Kama utani nimenasa kwa Mama mtu mzima

Sitaki tena mishangazi, inalemaza akili. Wacha nikomae na hivi vitoto tu
 
Nyie ndio Mafundi mnakuja kupiga rangi nyumba za watu kumbe mnavizia wake za watu
Dawa yenu ipo jikoni kudadeki
 
Kwamba katumwa na mungu, kudadekiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Yani ukipata mbususu ya hadhi ya nyota tano unakuwa mwehu
 
Sema fanya uchunguzi kama hana mume kweli au waliachana kweli na mumeo.
Vizee vinakuaga na wivu wa kipuuzi sana na vina nguvu ya pesa na mamlaka.
 
Sema fanya uchunguzi kama hana mume kweli au waliachana kweli na mumeo.
Vizee vinakuaga na wivu wa kipuuzi sana na vina nguvu ya pesa na mamlaka.
zaid ya miez minne cjamuona huyo mume wake
 
Mkuu kaza hapo umepata ganda la ndizi lazima uteleze nalo, ndani ya kipindi cha mahusiano yenu utakula sana maisha kupitia yeye. Tuwakilishe vyema sisi vijana wote wa hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…