Kama utani Rais Ruto anaondoka Madarakani na kama Arab States, EA inaelekea huko

Kama utani Rais Ruto anaondoka Madarakani na kama Arab States, EA inaelekea huko

Wabunge Bob Owino,Jarang'o & Junet Mohammed wapo front sio hapa TZ Chadema wanatangaza maandamano halafu wao wamerudi kula ships Machame.

 
Hakuna aliyetegemea hali iliyopo Nairobi ingekuwa hivi ilivyo sasa. Nairobi imechafuka na askari wameanza kuonyesha kuchoka mapema kabisa na maandamano yanazidi kushika kasi.

Rais Ruto atashuhudia kama utani akiondoka madarakani maana nguvu ya umma haiwezi kuzuiwa na polisi hata kidogo.

Kama ilivyokuwa mataifa ya kiarabu miaka michache iliyopita ambako vurugu na maandamano yaliambukizana kutoka nchi moja kwenda nyingine, jee hali hiyo yaweza kuambukizwa hapa Afrika mashariki?

Kwamba twaweza kuja sikia Uganda yakotokea au Tanzania (Tanganyika) nako yakifumka? Maana sababu kubwa ni hali ngumu ya maisha na tuhuma za uchaguzi usio haki ambao kwa EAC ni kama gonjwa sugu.

Viongozi wayaangalie matatizo kwa jicho la tatu badala ya kuwaambia watu waende Burundi au wabunge wao wakajadili uganga wa kienyeji maana uchumi sio professional yao.

Mungu ibariki EAC isiingie kwenye machafuko na viongozi walio shindwa kutekeleza majukumu wajitambue na kung'atuka.
Unashabikia ujinga!
 
Wapinzani wa Tanzania ati huwa sana beg kwa CCM.
Mara Mama ni mwerevu
Mama anasikiliza
mama ametuachia tufanye mikutano

Upinzani Tanzania ni bure kabisa
Hapo unataka kuona upinzani ni bure? Bure nì Watanzania wenyewe me and you ambao tunakandamizwa lakini hatuwezi kujisemea
 
Usidanganywee na clip za mitandaoni hakuwa fujo Nairobi kama hioo unayoizungumziaa
Tatizo chombo chako kikuu cha habari ni TBC1 hivyo ulimwengu wa nje huoni wala kuujua unadhani ni hadithi
 
Kenya, wenyewe wanasema hii ni rehearsal tuu muziki wenyewe waja
IMG-20230321-WA0010.jpg
IMG-20230321-WA0011.jpg
 
Jambo Limezua Jambo Taratibu Tunajionea Tunajifunza Kenya, South Africa
 
Nimejikuta nacheka alafu ikabidi niangalie nani katoa MAda
 
Back
Top Bottom