Kama utani Rais Ruto anaondoka Madarakani na kama Arab States, EA inaelekea huko

Hili suala bongo haliwezekani.
 
Hizi ni dalili njema kuelekea ukombozi wa mtu mweusi dhidi ya viongozi wajinga, uzuri wa hizi movements hua zinasambaa sehemu moja hadi nyingine. Ni muda sasa wa chama kipya cha upinzani kuundwa ili kuchochea harakati hizi.
 
raisi yupi aachie madaraka kwa kipi?
 
Pamoja na Samia kuruhusu uhuru wa mawazo na maandamano, Tanzania haiwezi kufikia hatua hiyo kamwe
 
Viongozi vipofu wanatupeleka huko
 
Raila Odinga na uzee wote anapeleka moto
Wakati huo mbowe yupo ikulu ana vishwa pampasi na mama huku ana lamba asali taratibuuuu ...bado kudogo tu ana elekea kunyonyweshwa maziwa na nyoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…