Kama uthibitisho kuwa nyani wa kwanza alitokea oldivai gorge basi hawa nyani ndio tunaendelea nao kwenye huu utawala

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mi kwa sasa siwezi lalamika mzungu,mwarabu na wachina wakituita nyani.Kama tunashindwa hata kuishi kama wao kwa nini tukatae.

Mfano leo kuna viongozi wanaweza kuja kubisha kauli zao za nyuma kuwa hawa kusema ila wakionesha wakaulizwa wanakana.

Kuna watu hapa JF damu za watu zina mwagika,umaskini ukishika kasi ila wao wanaona ndio maendeleo.

Nyani bado wapo kubarini sisi ni nyani wala hakuna pa kupeleka malalamiko.
 
tena nyani hawa wako na silaha, wanakukamata wanakutesa na wanakuua. Tutawashtaki kwa MUNGU (Rosa Mistika)
 
Back
Top Bottom