Kama Vera Sidika kawa hivi, mpango ushafeli

Kama Vera Sidika kawa hivi, mpango ushafeli

Hivi unajua hiyo surgery ya kuondoa hizo toxic materials katumia kiasi gani?

Miss Miami alihangaika kumtafuta, Dr ambaye ana utaalamu wa kuondoa hizo toxic kwa kipindi kirefu. Husizani ni swala dogo na kuna wengine zile toxic zina ingia mpaka kwenye mishipa ya damu na kuharibu mapafu,kusafisha na kuondoa kila kitu si kitu kidogo.

Hapo mpaka unamwona hivyo,unaweza ukakuta hela iliyo mtoka ni ndefu sana. Ukipata muda tafuta video YouTube za madaktari then utajua kwamba si swala dogo kuondoa hizo toxics makalioni.
Duh
Kwani Huwa wanaweka nn hasa?
Ujue Huwa sielewi
Ni sindano? Ndo zinawafanya wawe vile?
 
mhh inasikitisha na kufurahisha yote kwa yote ni mahangaiko yetu hapa duniani....Mungu tusaidie
 
Back
Top Bottom