system hacker
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 426
- 709
People milioni 62 na ushee lakini mmmmhhhh wakulaji ni very small cycle.
Competence wala sio ishu kubwa kwenye hii nchi. Kikubwa zaidi ni kuwa karibu na hiyo cycle nothing more nothing less.
Lakini truth be told....tatizo sio wakulaji bali tatizo ni wananchi wenyewe.
Wameshapigwa ki ufasaha ile kitu inaitwa 'Divide and Rule' na imekaa kwenyewe haswa hawaelewi hili wala lile.
2030 hali ya maisha ya watanzania wengi itazidi kuwa taabani sana....na trend inaendelea kuwa hivi miaka na miaka hadi wananchi wajielewe