system hacker
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 426
- 709
Ni kweli hadi wenye nchi watakapojielewa.People milioni 62 na ushee lakini mmmmhhhh wakulaji ni very small cycle.
Competence wala sio ishu kubwa kwenye hii nchi. Kikubwa zaidi ni kuwa karibu na hiyo cycle nothing more nothing less.
Lakini truth be told....tatizo sio wakulaji bali tatizo ni wananchi wenyewe.
Wameshapigwa ki ufasaha ile kitu inaitwa 'Divide and Rule' na imekaa kwenyewe haswa hawaelewi hili wala lile.
2030 hali ya maisha ya watanzania wengi itazidi kuwa taabani sana....na trend inaendelea kuwa hv miaka na miaka hadi wananchi wajielewe
Hivi Lupaso hakuwa na mtoto kama nimeona jina la mwanae.1. Chikwete
2. Pinda
3. Merinyo
4.....
Kweli. Maana kama mtu unakula na hakuna bughudha zaidi ya maneno ya mitandaoni kwa nini uache kula? Acha watu wale tu hadi watu wajitambueNi kweli hadi wenye nchi watakapojielewa.
People milioni 62 na ushee lakini mmmmhhhh wakulaji ni very small cycle.
Competence wala sio ishu kubwa kwenye hii nchi. Kikubwa zaidi ni kuwa karibu na hiyo cycle nothing more nothing less.
Lakini truth be told....tatizo sio wakulaji bali tatizo ni wananchi wenyewe.
Wameshapigwa ki ufasaha ile kitu inaitwa 'Divide and Rule' na imekaa kwenyewe haswa hawaelewi hili wala lile.
2030 hali ya maisha ya wat
mimi na wewe wote hatujui upande wa pili wa shilingi. fahamu hiki kitu kidogo sana. the system is not much stable_ Furahia sana na ulipo sababu kesho haitabiliki. hii Tz kuna sehemu tunaenda na tutafika si mda.People milioni 62 na ushee lakini mmmmhhhh wakulaji ni very small cycle.
Competence wala sio ishu kubwa kwenye hii nchi. Kikubwa zaidi ni kuwa karibu na hiyo cycle nothing more nothing less.
Lakini truth be told....tatizo sio wakulaji bali tatizo ni wananchi wenyewe.
Wameshapigwa ki ufasaha ile kitu inaitwa 'Divide and Rule' na imekaa kwenyewe haswa hawaelewi hili wala lile.
2030 hali ya maisha ya watanzania wengi itazidi kuwa taabani sana....na trend inaendelea kuwa hv miaka na miaka hadi wananchi wajielewe
Ndejembi1. Chikwete
2. Pinda
3. Merinyo
4.....
Nakusoma sana. Tena sanaMimi na wewe wote hatujui upa
mimi na wewe wote hatujui upande wa pili wa shilingi. fahamu hiki kitu kidogo sana. the system is not much stable_ Furahia sana na ulipo sababu kesho haitabiliki. hii Tz kuna sehemu tunaenda na tutafika si mda.
Mizengo Pinda, Jakaya Kikwete na the likes tunasubiri jua lichomoze la jiwe lionekane, hawafi CCM.People milioni 62 na ushee lakini mmmmhhhh wakulaji ni very small cycle.