Kama viongozi hawamtaki Mo basi wamfukuze tu. Kutuletea kocha wa ovyo na kumpangia kikosi sio

Kama viongozi hawamtaki Mo basi wamfukuze tu. Kutuletea kocha wa ovyo na kumpangia kikosi sio

Hapa unawalaumu wasiohusika. Kwahiyo hao Viongozi ndo walimwambia Ahoua akose nafasi ya wazi dk 1? Wakamwambia Budo apaishe akiwa na nafasi ya kufunga? Wakamwambia Kapombe apige mpira kwa kuuchinja bila kulenga goli? Na wakamsisitiza yule Mchezaji mwenye kichwa kikubwa kuliko mwili (Jonathan Sowah) akose nafasi 2 za wazi?
Aiseee
 
Na siyo hilo tu. Yule Sowah aliyekuwa mkali wa kuzifumania nyavu, jana kakosa nafasi 2 za wazi, ambazo kama angekuwa bado yuko Singida United angefunga.
Kwasasa kuna tofauti kubwa sana za fikra za mashabiki wa Simba vs Yanga. Mashabiki wa Yanga wametoka katika mawazo ya kishirikina na lawama kwa wachezaji badala yake wanajitahidi kuwatia moyo ili wakae sawa kiakili. Nadhani Dube angukuwa ni mchezaji wa Simba kwa nafasi za wazi anazopoteza angepigwa hata mawe na matusi mengi. Ila mashabiki wa Yanga ndiyo kwanza wanaimba jina lake na kumpa fedha ili tu kumpa moyo.
 
Back
Top Bottom