Kama viongozi hawamtaki Mo basi wamfukuze tu. Kutuletea kocha wa ovyo na kumpangia kikosi sio

Aiseee
 
Na siyo hilo tu. Yule Sowah aliyekuwa mkali wa kuzifumania nyavu, jana kakosa nafasi 2 za wazi, ambazo kama angekuwa bado yuko Singida United angefunga.
Kwasasa kuna tofauti kubwa sana za fikra za mashabiki wa Simba vs Yanga. Mashabiki wa Yanga wametoka katika mawazo ya kishirikina na lawama kwa wachezaji badala yake wanajitahidi kuwatia moyo ili wakae sawa kiakili. Nadhani Dube angukuwa ni mchezaji wa Simba kwa nafasi za wazi anazopoteza angepigwa hata mawe na matusi mengi. Ila mashabiki wa Yanga ndiyo kwanza wanaimba jina lake na kumpa fedha ili tu kumpa moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…