Kama viongozi wa dini ndio Hawa je Dunia tuiache mikononi mwa wanasiasa?

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Kwa Sasa Dunia yetu inapitia mengi sana sana ...tuanze na la ushoga na usagaji....Kisha vita ya wenyewe kwa wenyewe ....tatu ugaidi ukiongozwa na makundi mbalimbali ya wanamgambo...ukame ukosefu wa chakura duniani ..matukio ya makanisa kugeuzwa vituo vya mauaji na upotofu mkubwa wa Imani kiasi hatujui tumwamini yupi...je Dunia ibaki mikononi mwa wanasiasa TU au viongozi wa dini Hawa waliopo kwa Sasa ...
 
Hakuna jipya chini ya jua ndugu yangu... Hayo uyaonayo nyakati hizi yalikuepo enzi na enzi
 
Mimi naona tuikabidhi mikononi mwa mganguzi🤸🤸🤸(a.k.a mchunga kondoo mwituni Shakahola Mackenzie 😂😂😂)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…