Kingereza ya kuokoteza, cha kopo na mfagioIna maana kweli wewe ni think Tank ya nchi unaweza kuestablish with u doubt fact kwamba siku Fulani Kanisa kupitia mtu Fulani lilitoa matusi yafuatayo kwa Rais?
Kama huwezi kufanya hivyo you are a waste sperm. The use of condom of contraception would have avoid your existence today.
Tutafute hela tu bandugu.Nimeona viongozi wote wa mikoa wa chama cha demokrasia na maendeleo wamepiga kambi kwa Mbowe wakijiapiza kumuunga mkono, naona Mbowe kafunga hesabu, uchaguzi umekwisha.
Lissu anazurura peke yake tu na makaratasi mkononi
Ni wazi Lissu hana base kubwa ya uhakika ndani ya chama.
Lissu anaweza kuwa na mashabiki wengi nje ya chama ikiwemo hapa JF.
Lissu ni shujaa wa kukurupuka week 3 nyuma alikuwa anataka nafasi ya Makamu ghafla bila tafakari anagombea nafasi ya Mwenyekiti.
Lissu zaidi ya kupigwa risasi 16 hana maajabu yoyote.
Ni Kweli hata Retired kamkubali leo Lissu kiulainiLissu shikilia hapohapo, huyu mbowe keshatepeta
Iyo hawezi kuwa tija , kwa sababu wanaopiga kura sio wao peke yao , na kura ni siriNimeona viongozi wote wa mikoa wa chama cha demokrasia na maendeleo wamepiga kambi kwa Mbowe wakijiapiza kumuunga mkono, naona Mbowe kafunga hesabu, uchaguzi umekwisha.
Lissu anazurura peke yake tu na makaratasi mkononi
Uchaguzi utaisha salamaNg'ombe hanenepi siku ya mnada, mchezo ulishachezwa tangu chaguzi za ngazi ya chini
Mkuu, nyie mnatisha, leo tena mnamtaka Mh. Mbowe ambaye mlikuwa mna mtuhumu kung'ang'ania madaraka kwa muda mrefu, sasa tuseme mna mwogopa Lisu? Kwa hiyo mnaona bora Mbowe!Ni wazi Lissu hana base kubwa ya uhakika ndani ya chama.
Lissu anaweza kuwa na mashabiki wengi nje ya chama ikiwemo hapa JF.
Lissu ni shujaa wa kukurupuka week 3 nyuma alikuwa anataka nafasi ya Makamu ghafla bila tafakari anagombea nafasi ya Mwenyekiti.
Lissu zaidi ya kupigwa risasi 16 hana maajabu yoyote.
Mkuu, upo sawa kabisa. Kwa sasa anatamani kuachia huo Uwenyekiti, ili ajifunze akiwa nje ya uongozi.Kisayansi Mbowe kafunga hesabu