Kama viongozi wa mikoa yote wa chama cha chadema wamehudhuria mkutano wa Mbowe, na Lissu anazurura peke yake, uchaguzi umekwisha!

Kama viongozi wa mikoa yote wa chama cha chadema wamehudhuria mkutano wa Mbowe, na Lissu anazurura peke yake, uchaguzi umekwisha!

Ina maana kweli wewe ni think Tank ya nchi unaweza kuestablish with u doubt fact kwamba siku Fulani Kanisa kupitia mtu Fulani lilitoa matusi yafuatayo kwa Rais?

Kama huwezi kufanya hivyo you are a waste sperm. The use of condom of contraception would have avoid your existence today.
Kingereza ya kuokoteza, cha kopo na mfagio
 
Nimeona viongozi wote wa mikoa wa chama cha demokrasia na maendeleo wamepiga kambi kwa Mbowe wakijiapiza kumuunga mkono, naona Mbowe kafunga hesabu, uchaguzi umekwisha.

Lissu anazurura peke yake tu na makaratasi mkononi
Tutafute hela tu bandugu.
 
CHADEMA tunajiaibisha sana. Yani hakuna mtu zaidi ya Mbowe. Very stupid.
 
Ni wazi Lissu hana base kubwa ya uhakika ndani ya chama.

Lissu anaweza kuwa na mashabiki wengi nje ya chama ikiwemo hapa JF.

Lissu ni shujaa wa kukurupuka week 3 nyuma alikuwa anataka nafasi ya Makamu ghafla bila tafakari anagombea nafasi ya Mwenyekiti.

Lissu zaidi ya kupigwa risasi 16 hana maajabu yoyote.

Wewe una lipi la maana zaidi ya kujificha JF na ID ya uongo.
 
Kiukweli, hata mimi ningekua mpiga KURA wao, hakika ningempigia Mbowe na sio Lissu; sababu yangu ni moja tu, press conference ya Lissu ilikua ya kukigawa chama, kaondoa unit
 
Nimeona viongozi wote wa mikoa wa chama cha demokrasia na maendeleo wamepiga kambi kwa Mbowe wakijiapiza kumuunga mkono, naona Mbowe kafunga hesabu, uchaguzi umekwisha.

Lissu anazurura peke yake tu na makaratasi mkononi
Iyo hawezi kuwa tija , kwa sababu wanaopiga kura sio wao peke yao , na kura ni siri
 
Ni wazi Lissu hana base kubwa ya uhakika ndani ya chama.

Lissu anaweza kuwa na mashabiki wengi nje ya chama ikiwemo hapa JF.

Lissu ni shujaa wa kukurupuka week 3 nyuma alikuwa anataka nafasi ya Makamu ghafla bila tafakari anagombea nafasi ya Mwenyekiti.

Lissu zaidi ya kupigwa risasi 16 hana maajabu yoyote.
Mkuu, nyie mnatisha, leo tena mnamtaka Mh. Mbowe ambaye mlikuwa mna mtuhumu kung'ang'ania madaraka kwa muda mrefu, sasa tuseme mna mwogopa Lisu? Kwa hiyo mnaona bora Mbowe!
Je ikiwa ni Mh. Mbowe ndiye ame mtaka Lisu awe Mwenyekiti! ili amwangalie say for one term, akivulunda basi arudi KITINI, kama Trump vile mtapeleka wapi AIBU ZENU????
 
Back
Top Bottom