Tupe kwanza tafsiri ya uzalendo?Ili uweze kuwa na taifa thabiti na madhubuti lazima kuwa na viongozi wazalendo na wenye machungu na taifa lao.
Viongozi ambao watapinga ufisadi wa kila aina na kuhakikisha maendeleo yanapatikana.
Viongozi ambao watazuia ushoga ili kulinda maadili ya taifa lao.
Viongozi ambao watazuia wavuta bangi na madawa ya kulevya ili kujenga taifa imara.
Leo hii kuwaundermine na kuwatishia uhai viongozi wa namna hii ni kukatisha tamaa viongozi wengine ambao wako radhi kujitoa kwa taifa lao.
Ili uweze kuwa na taifa thabiti na madhubuti lazima kuwa na viongozi wazalendo na wenye machungu na taifa lao.
Viongozi ambao watapinga ufisadi wa kila aina na kuhakikisha maendeleo yanapatikana.
Viongozi ambao watazuia ushoga ili kulinda maadili ya taifa lao.
Viongozi ambao watazuia wavuta bangi na madawa ya kulevya ili kujenga taifa imara.
Leo hii kuwaundermine na kuwatishia uhai viongozi wa namna hii ni kukatisha tamaa viongozi wengine ambao wako radhi kujitoa kwa taifa lao.
Hata maandiko yanasema mtendee mpumbavu kwa kadri ya upumbavu wake.Tumia akili hata kiduchu, sio kuharisha upuuzi
Jikite kwenye mada bwege
Tatizo hujui hata maana ya uzalendo. Kuua, kuteka, kupoteza watu, kuwabambikia watu kesi, siyo sehemu ya uzalendo.Ili uweze kuwa na taifa thabiti na madhubuti lazima kuwa na viongozi wazalendo na wenye machungu na taifa lao.
Viongozi ambao watapinga ufisadi wa kila aina na kuhakikisha maendeleo yanapatikana.
Viongozi ambao watazuia ushoga ili kulinda maadili ya taifa lao.
Viongozi ambao watazuia wavuta bangi na madawa ya kulevya ili kujenga taifa imara.
Leo hii kuwaundermine na kuwatishia uhai viongozi wa namna hii ni kukatisha tamaa viongozi wengine ambao wako radhi kujitoa kwa taifa lao.
Kulipigania taifa kwa kuua???Ili uweze kuwa na taifa thabiti na madhubuti lazima kuwa na viongozi wazalendo na wenye machungu na taifa lao.
Viongozi ambao watapinga ufisadi wa kila aina na kuhakikisha maendeleo yanapatikana.
Viongozi ambao watazuia ushoga ili kulinda maadili ya taifa lao.
Viongozi ambao watazuia wavuta bangi na madawa ya kulevya ili kujenga taifa imara.
Leo hii kuwaundermine na kuwatishia uhai viongozi wa namna hii ni kukatisha tamaa viongozi wengine ambao wako radhi kujitoa kwa taifa lao.
Weka ushahidi namna alivyohusikaUzalendo ni kuua na kuumiza wengine?
Uzalendo ni kupora mali za wengine walizochuma kwa jasho na mateso?
Kama Uzalendo ni haya basi tuna safari ndefu.Acha avune alichopanda huyo mtoto, tena wanamchelewesha sn hao alowataja.
Uhuni wa kwenye chaguzi na mabavu walioufanya na kudhulumu haki na nafsi za watanzania.
Bora aende gerezani ajipeleke akakae huko.
Lissu
Ben saanane
Gwanda
Kanguye
etc
Tena machozi ya watanzania bado yanavuja kwa mabaya waliyotendewa.
Mungu ataendelea kuwagusa woooote
Mbona inaonekana umekosa hekima hata ndogo? Kwa nini unapenda kutukana?Jikite kwenye mada bwege
Stick to the point dont be stupid.Mbona inaonekana umekosa hekima hata ndogo? Kwa nini unapenda kutukana?
Mwendawazimu hakuna anachokiweza zaidi ya kutukana. Ndiyo maana aghalabu utawaona wehu, wengine wakiwa uchi, wakiwaporomoshea matusi walio wazima.
Ukiona unapenda sana kutukana, waulize ndugu au watu wa karibu nawe kama wanakuona umzima wa akili. Maana dalili ya kwanza ya uwendawazimu ni kupenda kutukana au kutojali.
Wewe na CCM yenu mjitafakari mmetufikishaje hapa.Ili uweze kuwa na taifa thabiti na madhubuti lazima kuwa na viongozi wazalendo na wenye machungu na taifa lao.