Kama viongozi wazalendo maisha yao yanakuwa hatarini kwa kutetea maslahi ya taifa lao, tutaweza kuwa na kizazi cha kulipigania taifa letu?

Stick to the point dont be stupid.
Unatudhihirishia kuwa wewe siyo mzima. Kisentensi hicho kimoja cha kiingereza hakiwezi kutithibitishia kuwa wewe umzima.

Kama huna ndugu wa karibu, nenda mwenyewe Mirembe hospital, matibabu ya mapema yanaweza kukusaidia kupata nafua, japo magonjwa ya akili hayaponi kwa 100%.
 
Ili uweze kuwa na taifa thabiti na madhubuti lazima kuwa na viongozi wazalendo na wenye machungu na taifa lao.

Viongozi ambao watapinga ufisadi wa kila aina na kuhakikisha maendeleo yanapatikana.

Viongozi ambao watazuia ushoga ili kulinda maadili ya taifa lao.

Viongozi ambao watazuia wavuta bangi na madawa ya kulevya ili kujenga taifa imara.

Leo hii kuwaundermine na kuwatishia uhai viongozi wa namna hii ni kukatisha tamaa viongozi wengine ambao wako radhi kujitoa kwa taifa lao.
MAGUFULI SIO MUNGU (lema voice)
 
Ndio yupi huyo🤔.Hata wewe mwisho wasiku utatuambia ni mzalendo,acha mahakama Ikatuambie SII wewe 🏃
 
Binafsi pia niliwindwa mno.

Ila naona jamaa wamerudi nyuma kidogo.

Lakini haijanifanya nilegee sana.

Labda wamejihakikishia mambo flani wakaamua kuachana na mimi.
Wewe hata kunguru hawezi kukuwinda😂
 
Ili uweze kuwa na taifa thabiti na madhubuti lazima kuwa na viongozi wazalendo na wenye machungu na taifa lao.

Viongozi ambao watapinga ufisadi wa kila aina na kuhakikisha maendeleo yanapatikana.

Viongozi ambao watazuia ushoga ili kulinda maadili ya taifa lao.

Viongozi ambao watazuia wavuta bangi na madawa ya kulevya ili kujenga taifa imara.

Leo hii kuwaundermine na kuwatishia uhai viongozi wa namna hii ni kukatisha tamaa viongozi wengine ambao wako radhi kujitoa kwa taifa lao.
Unamaanisha nani?
 
Back
Top Bottom