Kama viongozi wazalendo maisha yao yanakuwa hatarini kwa kutetea maslahi ya taifa lao, tutaweza kuwa na kizazi cha kulipigania taifa letu?

Stick to the point dont be stupid.
Unatudhihirishia kuwa wewe siyo mzima. Kisentensi hicho kimoja cha kiingereza hakiwezi kutithibitishia kuwa wewe umzima.

Kama huna ndugu wa karibu, nenda mwenyewe Mirembe hospital, matibabu ya mapema yanaweza kukusaidia kupata nafua, japo magonjwa ya akili hayaponi kwa 100%.
 
MAGUFULI SIO MUNGU (lema voice)
 
Ndio yupi huyo🤔.Hata wewe mwisho wasiku utatuambia ni mzalendo,acha mahakama Ikatuambie SII wewe 🏃
 
Binafsi pia niliwindwa mno.

Ila naona jamaa wamerudi nyuma kidogo.

Lakini haijanifanya nilegee sana.

Labda wamejihakikishia mambo flani wakaamua kuachana na mimi.
Wewe hata kunguru hawezi kukuwinda😂
 
Unamaanisha nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…