Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,020
Nikili wazi kabisa mm ni mfatiliaji wa mechi wanazolusha azam tv iwe ligi ya spain, ligi kuu tanzania bara au mechi za CAF kiukweli kabisa wamejaliwa watangazi wazuri wa mpira.
Mwanzoni wakati wanaanza walikuwa na baruani muhuza huyu alitokea star tv na sasa hv ni mkurugenzi mkuu wa michezo pale azam tv. Nikili kabisa kwamba sasa hivi jamaa kawafunza watu kutangaza mpira japo kuwa yeye kumsikia anatangaza mpira na charles illay ni mala chache sana.
Kuna mutu anaitwa barak mpenja a.k.a sauti ya radi, hashimu inbwe, Kuna mwingine anajiita Mtanzania na mwana afrika mashariki, na kuna uyu katangaza mechi ya mwadui na yanga juzi juzi na jumapili katangaza mechi ya kagera sukari na yanga aisee yule jamaa ni kiboko. Mpenja anajua historia ya kila mchezaji na kila timu ata iwe ya dalaja la kumi.
Mungu ibariki azamu tv kwa kutuba burudani shadida maana afrika Mashariki na kati sijui kama kuna kituo cha tv kama azam.