Kama vipaji vya kutangaza mpira azam tv mnajua kufanya vetting.

Kama vipaji vya kutangaza mpira azam tv mnajua kufanya vetting.

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
1,317
Reaction score
2,020
Nikili wazi kabisa mm ni mfatiliaji wa mechi wanazolusha azam tv iwe ligi ya spain, ligi kuu tanzania bara au mechi za CAF kiukweli kabisa wamejaliwa watangazi wazuri wa mpira.

Mwanzoni wakati wanaanza walikuwa na baruani muhuza huyu alitokea star tv na sasa hv ni mkurugenzi mkuu wa michezo pale azam tv. Nikili kabisa kwamba sasa hivi jamaa kawafunza watu kutangaza mpira japo kuwa yeye kumsikia anatangaza mpira na charles illay ni mala chache sana.

Kuna mutu anaitwa barak mpenja a.k.a sauti ya radi, hashimu inbwe, Kuna mwingine anajiita Mtanzania na mwana afrika mashariki, na kuna uyu katangaza mechi ya mwadui na yanga juzi juzi na jumapili katangaza mechi ya kagera sukari na yanga aisee yule jamaa ni kiboko. Mpenja anajua historia ya kila mchezaji na kila timu ata iwe ya dalaja la kumi.

Mungu ibariki azamu tv kwa kutuba burudani shadida maana afrika Mashariki na kati sijui kama kuna kituo cha tv kama azam.
 
Paschal kabombe ana sauti kali mpaka kero kama ni usiku muda wote inabidi uwe na remote mkononi

Pia jamaa inaonyesha ana mahaba na yanga ..sio kwa kuwapamba na kuzidisha sifa vile kila mara wakipata bao hata liwe la kawaida
Asante kwa kunikumbusha jina la paschal kabombe cjui awa watu walikuwa wapi kabla ya azam tv?
 
Haaaaaa ngoja tuwasikie Leo kwa mtibwa watatangaza kwa mbwembwe vile vile?
 
Ooooh yesssss kama unabisha nyoosha mkono juu kama unajikuna,,, ukimchezea simba anakula, unakufaa.
Salim salim ayeeeeeeee...

Baadhi ya swagga zao. Wako vizuri.
 
Ni yule yule Mfumba jicho MK 14, Meddie Kagere anaruka kichwa mithiri ya kimo cha mbuzi na kuandika bao la pili, huku akimuacha golikipa Chaima akikodoa macho kodooooooooo, asijue la kufanya

Asante mkuu kwa taarifa, nilikuwa najaribu sauti tu..
 
Jo
Ooooh yesssss kama unabisha nyoosha mkono juu kama unajikuna,,, ukimchezea simba anakula, unakufaa.
Salim salim ayeeeeeeee...

Baadhi ya swagga zao. Wako vizuri.
John john yes papaa beating ndanda again yes papaaa kwa sauti ya hashimu ibwe yule dogo ni nyoko kama unabisha msikilize wakati anatangaza laliga.
 
Ni yule yule Mfumba jicho MK 14, Meddie Kagere anaruka kichwa mithiri ya kimo cha mbuzi na kuandika bao la pili, huku akimuacha golikipa Chaima akikodoa macho kodooooooooo, asijue la kufanya

Asante mkuu kwa taarifa, nilikuwa najaribu sauti tu..
Wewe mbuzi nadhani uwa unalala kwenye tv samahani lakini.
 
Hivi hawa azam ndo kusema wafuta kabisa local channels!?
 
Hivi hawa azam ndo kusema wafuta kabisa local channels!?
Bora ata wangefuta local channels ila wakatupa taarifa ya habari ila nayo wameifyekelea mbali yani ni shidah tupu.
 
Kaka upoo, umepotea mechi yetu na kagera hukutuletea updates, Ila kesho mkicheza kimazoea mnapigwa za uso. Mwambie MK 14 kesho asilembe wala kuficha jicho maana jamaa nao wako njema hatari
Ni yule yule Mfumba jicho MK 14, Meddie Kagere anaruka kichwa mithiri ya kimo cha mbuzi na kuandika bao la pili, huku akimuacha golikipa Chaima akikodoa macho kodooooooooo, asijue la kufanya

Asante mkuu kwa taarifa, nilikuwa najaribu sauti tu..
 
ha ha utangazi goli kwangu la wakati wote ni ile baraka mpenja anatamgaza goli la mbao dhidi ya yanga
"emanuel vyenkule anamuwekea habibu haji kiombo anamwambia chukua hio mwanangu Habibu haji kyoomboooo! happy new year happy new year wasukuma wanasema waveja kulumba waveja kulumba"
ha ha iliku raha sana siku ile
 
Mkuu...Si alileta Updates hapo jamaa, si mmetosheka vilivyo au unataka nilete mimi tuu?

Simba ndo timu ya kwanza Tanzania kufika michuano hii nusu fainali, kwahivyo tumejipanga ijapo kuwa lolote linaweza kutokea lakini tumejipanga na ushindi.

Karibu sana mkuu
Kaka upoo, umepotea mechi yetu na kagera hukutuletea updates, Ila kesho mkicheza kimazoea mnapigwa za uso. Mwambie MK 14 kesho asilembe wala kuficha jicho maana jamaa nao wako njema hatari
 
ha ha utangazi goli kwangu la wakati wote ni ile baraka mpenja anatamgaza goli la mbao dhidi ya yanga
"emanuel vyenkule anamuwekea habibu haji kiombo anamwambia chukua hio mwanangu Habibu haji kyoomboooo! happy new year happy new year wasukuma wanasema waveja kulumba waveja kulumba"
ha ha iliku raha sana siku ile
Yah kiukweli that was the best mpenja na ile sauti yake nishidah kwanza unaweza hisi amezaliwa usukumani kumbe ata ana chembe ya vina saba vya uko.
 
Asante kwa kunikumbusha jina la paschal kabombe cjui awa watu walikuwa wapi kabla ya azam tv?
pascal kabombe, hashim ibwe, james samwel na ahmed abdallah walikuwa recruited kupitia shindano la kusaka vipaji waliloandaa wao wenyewe azamtv kati ya mwaka 2014 au 2015.baada ya hapo uongozi wa azam tv ukawapa ajira moja kwa moja.

ramadhan ngoda na baraka mpenja hawa waliajiriwa na azam tv baada tu ya kuhitimu masomo yao udsm.
 
Back
Top Bottom