Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kwa namna Simba walivyokuwa wanacheza mpira mbovu ambao hata timu ya Liwale haiwezi kucheza mpira mbovu namna ile, Leo Vipers wangekuwa na striker kama Manzoki au Bobosi, Simba alikuwa anaaga michuano Leo Leo na Horoya angefuzu Leo Leo.
Sijui huko kambini Robertinho anafundisha nini lakini nahisi mgogoro ndani ya klabu bado unaathiri sana maendeleo ya klabu, Simba Nguvumoja bado haipo, timu unastrugle sana kusaka ushindi.
Wachezaji wanajituma lkn kwa vile nguvumoja haipo Simba, bado tuna kazi kubwa ya kufanya