Kama Vipers wangekuwa na Manzoki na Bobosi, kwa Mkapa leo kungekuwa hakutoshi

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kwa namna Simba walivyokuwa wanacheza mpira mbovu ambao hata timu ya Liwale haiwezi kucheza mpira mbovu namna ile, Leo Vipers wangekuwa na striker kama Manzoki au Bobosi, Simba alikuwa anaaga michuano Leo Leo na Horoya angefuzu Leo Leo.

Sijui huko kambini Robertinho anafundisha nini lakini nahisi mgogoro ndani ya klabu bado unaathiri sana maendeleo ya klabu, Simba Nguvumoja bado haipo, timu unastrugle sana kusaka ushindi.

Wachezaji wanajituma lkn kwa vile nguvumoja haipo Simba, bado tuna kazi kubwa ya kufanya
 
Shukrani za punda wewe. Ulitaka ashinde kirahisi aje? Umeambiwa Vipers walikuja kutembea?
Yanga Vs Vipers Manzoki akucheza matokeo yalikua hivi👇je Manzoki angecheza si wangepigwa hamsa hawa Uto.
images.jpeg
 
Kwa namna Simba walivyokuwa wanacheza mpira mbovu ambao hata timu ya Liwale haiwezi kucheza mpira mbovu namna ile, Leo Vipers wangekuwa na striker kama Manzoki au Bobosi, Simba alikuwa anaaga michuano Leo Leo na Horoya angefuzu Leo Leo.

Sijui huko kambini Robertinho anafundisha nini lakini nahisi mgogoro ndani ya klabu bado unaathiri sana maendeleo ya klabu, Simba Nguvumoja bado haipo, timu unastrugle sana kusaka ushindi.

Wachezaji wanajituma lkn kwa vile nguvumoja haipo Simba, bado tuna kazi kubwa ya kufanya
Hii tabia ya kushadidia majina ya watu ni upuuzi tu. Huyo Manzoki angefanya nini, ana nini cha ajabu? Wasiojua mpira hamjambo kwa viramli uchwara.
 
Kaa kimya🐸🐸
 
Attachments

  • IMG-20230116-WA0059.jpg
    IMG-20230116-WA0059.jpg
    56.4 KB · Views: 3
  • IMG-20230221-WA0046.jpg
    IMG-20230221-WA0046.jpg
    59 KB · Views: 2
  • IMG-20230307-WA0108.jpg
    IMG-20230307-WA0108.jpg
    58.5 KB · Views: 2
Dada unahangaika Sana embu fanya mpango wa kumpikia mumeo kwanza.
 
Umeshasema "KAMA".

"Kama" ni jambo la kufikirika. Endelea kuwa na fikra zako mgando ila sisi ndo tunapeta hivyo!
 
Kwa namna Simba walivyokuwa wanacheza mpira mbovu ambao hata timu ya Liwale haiwezi kucheza mpira mbovu namna ile, Leo Vipers wangekuwa na striker kama Manzoki au Bobosi, Simba alikuwa anaaga michuano Leo Leo na Horoya angefuzu Leo Leo.

Sijui huko kambini Robertinho anafundisha nini lakini nahisi mgogoro ndani ya klabu bado unaathiri sana maendeleo ya klabu, Simba Nguvumoja bado haipo, timu unastrugle sana kusaka ushindi.

Wachezaji wanajituma lkn kwa vile nguvumoja haipo Simba, bado tuna kazi kubwa ya kufanya
Ndoto ya mwendawazimu hii

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwa namna Simba walivyokuwa wanacheza mpira mbovu ambao hata timu ya Liwale haiwezi kucheza mpira mbovu namna ile, Leo Vipers wangekuwa na striker kama Manzoki au Bobosi, Simba alikuwa anaaga michuano Leo Leo na Horoya angefuzu Leo Leo.

Sijui huko kambini Robertinho anafundisha nini lakini nahisi mgogoro ndani ya klabu bado unaathiri sana maendeleo ya klabu, Simba Nguvumoja bado haipo, timu unastrugle sana kusaka ushindi.

Wachezaji wanajituma lkn kwa vile nguvumoja haipo Simba, bado tuna kazi kubwa ya kufanya
Na simba wange kuwa na miqson, na Morrison pasinge Tosha

Si unataka hivi eeeh
 
Kama Vipers wangekuwa na Manzoki na Bobosi, kwa Mkapa leo kungekuwa hakutoshi

kuongezea hapo, kama Yanga ingekuwa na Feitoto, ingekuwa inaongoza kundi la CAF Champions League, na ingeteuliwa kushiriki Super League msimu ujao
 
Mambo ya kama, kama yatakusaidia nini??achana na historia..ok basi kama vipers wangekuwa na lobi manzoki dhidi ya yanga,angelimwa hamsa bin sufur
 
Back
Top Bottom