Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Yanga Vs Vipers Manzoki akucheza matokeo yalikua hiviπje Manzoki angecheza si wangepigwa hamsa hawa Uto.Shukrani za punda wewe. Ulitaka ashinde kirahisi aje? Umeambiwa Vipers walikuja kutembea?
Hii tabia ya kushadidia majina ya watu ni upuuzi tu. Huyo Manzoki angefanya nini, ana nini cha ajabu? Wasiojua mpira hamjambo kwa viramli uchwara.Kwa namna Simba walivyokuwa wanacheza mpira mbovu ambao hata timu ya Liwale haiwezi kucheza mpira mbovu namna ile, Leo Vipers wangekuwa na striker kama Manzoki au Bobosi, Simba alikuwa anaaga michuano Leo Leo na Horoya angefuzu Leo Leo.
Sijui huko kambini Robertinho anafundisha nini lakini nahisi mgogoro ndani ya klabu bado unaathiri sana maendeleo ya klabu, Simba Nguvumoja bado haipo, timu unastrugle sana kusaka ushindi.
Wachezaji wanajituma lkn kwa vile nguvumoja haipo Simba, bado tuna kazi kubwa ya kufanya
We bwege tu, unafikiri lile bao la kisigino alilotaka kufunga mchezaji wa Vipers Manula akadaka, we unadhan Manzoki angetuacha paleHizi akili hazina akili, penga kamasi ukalale
Ndoto ya mwendawazimu hiiKwa namna Simba walivyokuwa wanacheza mpira mbovu ambao hata timu ya Liwale haiwezi kucheza mpira mbovu namna ile, Leo Vipers wangekuwa na striker kama Manzoki au Bobosi, Simba alikuwa anaaga michuano Leo Leo na Horoya angefuzu Leo Leo.
Sijui huko kambini Robertinho anafundisha nini lakini nahisi mgogoro ndani ya klabu bado unaathiri sana maendeleo ya klabu, Simba Nguvumoja bado haipo, timu unastrugle sana kusaka ushindi.
Wachezaji wanajituma lkn kwa vile nguvumoja haipo Simba, bado tuna kazi kubwa ya kufanya
Na simba wange kuwa na miqson, na Morrison pasinge ToshaKwa namna Simba walivyokuwa wanacheza mpira mbovu ambao hata timu ya Liwale haiwezi kucheza mpira mbovu namna ile, Leo Vipers wangekuwa na striker kama Manzoki au Bobosi, Simba alikuwa anaaga michuano Leo Leo na Horoya angefuzu Leo Leo.
Sijui huko kambini Robertinho anafundisha nini lakini nahisi mgogoro ndani ya klabu bado unaathiri sana maendeleo ya klabu, Simba Nguvumoja bado haipo, timu unastrugle sana kusaka ushindi.
Wachezaji wanajituma lkn kwa vile nguvumoja haipo Simba, bado tuna kazi kubwa ya kufanya
kuongezea hapo, kama Yanga ingekuwa na Feitoto, ingekuwa inaongoza kundi la CAF Champions League, na ingeteuliwa kushiriki Super League msimu ujaoKama Vipers wangekuwa na Manzoki na Bobosi, kwa Mkapa leo kungekuwa hakutoshi
Kama ππ π..., Leo Vipers wangekuwa na striker kama Manzoki au Bobosi, Simba alikuwa anaaga michuano Leo Leo na Horoya angefuzu Leo Leo.