Kama Vipers wangekuwa na Manzoki na Bobosi, kwa Mkapa leo kungekuwa hakutoshi

Hivi ni kweli Yanga mmeumizwa na matokeo ya Simba kiasi hichi hadi mnatamani kuwarudisha wachezaji waliowahi kuichezea Vipers ili tu kuhalalisha Simba ingefungwa kama wangekuwepo
Basi tukubali Vipers wangekuwa na Bobosi na Manzoki na Kocha wao Robertinho Simba angekufa nyingi nje ndani
 
Kwenye soccer Kuna wakati uliopita, uliopo na ujao kwenye hizo nyakati walikuepo, wapo na watakuepo wachezaji wazuri na wakawaida hii hupelekea timu kuwa up and downs kwenye performance. Kawaida sana. Ninge haina maana yoyote zaidi ya majuto tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…