vipers ni kama Ihefu tuSingida wakali kabisa ..... vipers ni kama mbeya kwanza
Ingekuwepo timu nyingineBaada ya kufanya uchambuzi wa mechi za CAF zinazoendelea nimekuja kupata swali hili
Japo kolo anacheza CAF champions ( wanasema Kuna ugumu) lkn sio kigezo Cha timu kubwa kupata point zote Kwa timu Moja ( kibonde) magoal yenyew Sasa .....
Mfano
Al hilal kapata point Kwa timu tofauti
Raja
Esperence nk
Swali:
Je! Kama vipers wasinge kuwepo kwenye lile kundi simba angekua na point ngap??View attachment 2544274
Mazembe amebaki jina tu, acheni kujitapaMbu mbu mbu .....lini mmewahi kufunga / kudroo na nazembe
Ambae katoka kutoa sare na simbaNadhani umeona moto wa Al hilal pale group la kifo
Al hilal anangoza group mbele ya mamelod
Al ahly
Cotton sports
Na magoli mwamwamwaa! Utampenda tuHata Sie Unaotuuliza Hatujui....! Huwezi Kujua labda Badala yake pengine Angekuwepo 'Zalani' ...! Maana Ya Mungu Mengi..!
Ila Huyu jamaa haya 'Machejo' yake Kiboko...! Kiuno Binuuuuuu
Sawa, Ila nyie hata hizo za kirafiki mlikufa 2 kwa vipersUnaongelea mechi ya kirafiki ......hakuingiza kikosi full .....ie makabi hakuwepo