Kama Vipers wasingekuwepo kwenye lile kundi Simba angekuwa na pointi ngapi?

Kama Vipers wasingekuwepo kwenye lile kundi Simba angekuwa na pointi ngapi?

Kwa kifupi kocha wetu aliikimbia Vipers sababu aliona hana timu nzuri, kuliko Simba, sehemu ya kutengeneza CV yake ni Simba ndio maana akakimbilia Simba
Wacha tuone atafika wap
 
Baada ya kufanya uchambuzi wa mechi za CAF zinazoendelea nimekuja kupata swali hili

Japo kolo anacheza CAF champions ( wanasema Kuna ugumu) lkn sio kigezo Cha timu kubwa kupata point zote Kwa timu Moja ( kibonde) magoal yenyew Sasa .....

Mfano
Al hilal kapata point Kwa timu tofauti
Raja
Esperence nk

Swali:
Je! Kama vipers wasinge kuwepo kwenye lile kundi simba angekua na point ngap??View attachment 2544274
Ingekuwepo timu nyingine
 
Hata Sie Unaotuuliza Hatujui....! Huwezi Kujua labda Badala yake pengine Angekuwepo 'Zalani' ...! Maana Ya Mungu Mengi..!
Aziz-Bana.jpg

Ila Huyu jamaa haya 'Machejo' yake Kiboko...! Kiuno Binuuuuuu
Na magoli mwamwamwaa! Utampenda tu
 
Sawa, Ila nyie hata hizo za kirafiki mlikufa 2 kwa vipers
Sasa mechi ya kirafiki nayo ni ya kukamia kuingiza kikosi full.........nadhani umeona ubora wa Yanga dhid ya MAZEMBE & bamako
 
Back
Top Bottom