Kama Vipers wasingekuwepo kwenye lile kundi Simba angekuwa na pointi ngapi?

Sasa mechi ya kirafiki nayo ni ya kukamia kuingiza kikosi full.........nadhani umeona ubora wa Yanga dhid ya vipers..
Hadi sasa timu zote mbili zina nafasi ya kwenda robo fainali, yule looser na huyu wa CL
 
Viper asingekuwepo kwenye lile kundi unajua nini kingetokea?
Simba angekua kwenye hilo kundi jipya na vipers
 
Huna akili 😖😖😖
Tuna mechi mbili zimebaki ya Horoya dar ambayo tuna iman kubwa point zipo na ya Raja ambayo bado nina imani tunaweza kutoboa tukiacha mambo ya uoga!
Alafu kwani makundi mengine tuliyocheza huyo Vipers alikuwepo??????
 
Simba wana akili sana; walipojua kuwa watakutana na Vipers kwenye makundi, basi wakamvuta kocha wa vipers awe wao halafu wafanye mazungumzo na vipers. - point 6!
 
Simba wana akili sana; walipojua kuwa watakutana na Vipers kwenye makundi, basi wakamvuta kocha wa vipers awe wao halafu wafanye mazungumzo na vipers. - point 6!
Wajaribu na Kwa laja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…