Kama Vyama vya Upinzani kazi yao ni kumsifia na kumuogopa Rais akiwa madarakani na kumshambulia akishakufa, vifutwe tu havitusaidii chochote!

Sisi ndio waasisi wa Chadema

Ndio tumemwambia Lisu kwamba Mbowe aendelee na uenyekiti hadi Maridhiano yakamilike 2030..
Angalia unachoandika! Ndiyo akili ndogo za Lumumba! Talk sense , siyo propaganda, talk substance, tusme nondo zako!
 
sifa zote hizo unazo wewe. Kama unaweza kumshabikia muuaji basi sifa zote hizo ni zako. bahati mbaya anonymity rule ya JF inanizuia kukwambia wewe ni nani!
Si ulibip kwa kumwita Uchwara

Ukapata salam full kababu!
 
Angalia unachoandika! Ndiyo akili ndogo za Lumumba! Talk sense , siyo propaganda, talk substance, tusme nondo zako!
Hujui lolote Wewe

Masoud amesema wao ndio wameanzisha Maridhiano ndio wakamtoa Mbowe jela akaenda direct Kwenye Maridhiano kabla Hata ya nyumbani kwake

Karai kuelewa haya ni ngumu sana!
 
Ni Ujinga, Utindiga, Ututusa na Ubwege kumuogopa Rais kwa miaka 7 mkiwa mmeufyata halafu leo amekufa ndio mnatumia Mikutano ya hadhara kumsimanga, kumkejeli na kumtukana....

Ni ubwege kuwashambulia upinzani kwa miaka sita, halfu unakufa kwa umeme.
 
Ni Ujinga, Utindiga, Ututusa na Ubwege kumuogopa Rais kwa miaka 7 mkiwa mmeufyata halafu leo amekufa ndio mnatumia Mikutano ya hadhara kumsimanga, kumkejeli na kumtukana...
Kweli, mapambano siku zote haya hitaji watu legelege ni bora yasiwepo.
 
Hujui lolote Wewe

Masoud amesema wao ndio wameanzisha Maridhiano ndio wakamtoa Mbowe jela akaenda direct Kwenye Maridhiano kabla Hata ya nyumbani kwake

Karai kuelewa haya ni ngumu sana!

Karai mwenyewe, Rais kasema yet ndio alimuita Mbowe Ikulu, Sasa kosa la mbowe ni lipi, kusamehe?. Ondokeni na Roho zenu mbaya.
 
Kweli, mapambano siku zote haya hitaji watu legelege ni bora yasiwepo.

Legelege yupi? Anayelima watu risasi au anayelimwa risasi. Wewe unaongea nyuma ya keyboard. Huwezi kuhimili hata mshindo wa risasi moja.
 
Ni ubwege kuwashambulia upinzani kwa miaka sita, halfu unakufa kwa umeme.
Amekufa akisimama katika kile alichokiamini

Huyo ndio Kiongozi

Siyo akina Ni Yeye wanakimbizana na mifupa kama Fisi wenye.njaa kali
 
Pia mpinzani gani anaetoka huko alipokuwepo kuja kumtukana tu marehem na kukimbia!

Hovyo kabisa hawa watu. Sijui wanapataje chawa wa kuwaunga mkono.

Unajua matusi?. Huyo Marehemu ndio alikuwa mtukanaji halisi, Bora umeme ienda naye
 
Amekufa akisimama katika kile alichokiamini

Huyo ndio Kiongozi

Siyo akina Ni Yeye wanakimbizana na mifupa kama Fisi wenye.njaa kali

Anaamini kwenye kulima wengine risasi? Angekuwa hai basi Kama alikuwa na uwezo huo. Umeme uliliondoa liibilisi.
 
Karai mwenyewe, Rais kasema yet ndio alimuita Mbowe Ikulu, Sasa kosa la mbowe ni lipi, kusamehe?. Ondokeni na Roho zenu mbaya.
Rais alishauriwa na Uongozi wa ACT Wazalendo wakkongozwa na Makamu wa Rais wa Zanzibar mh Othman Masoud

Ndio Mbowe akaahirishiwa Kesi ya Ugaidi
 
Legelege yupi? Anayelima watu risasi au anayelimwa risasi. Wewe unaongea nyuma ya keyboard. Huwezi kuhimili hata mshindo wa risasi moja.
Kama mnaogopa risasi acheni mapambano, wajinga Watanzania waji pambanie wenyewe.

Wakomunisti wa China walipambana takribani miaka ishirini ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, wewe una ongelea risasi?

Mapambano hayataki watu legelege especially mapambano ya ukombozi soma historia ya tawala za kidhalimu kama CCM zilivyo ondoshwa na mjitazame mienendo yenu nyie je ina shabihiana ?
 
Hawa wapinzani butu wengi walikuwa wamejificha kwenye kimvuli cha marufuku ya mikutano....

Marehemu aliua na kushambulia wapinzani akidhani hatakufa, Ila kafa kimoja, nyie pigeni kelele
 
Maisha , uhai havina mbadala, lazima kuchukua tahadhali! magufuli ameua siyo chini ya mamilioni ya watu, kwanini watu wasiogope? Wewe shujaa mbona unajiita Makojo, taja jina lako halisi tukutafute
Hao mamilioni alio waua naomba unitajie ?
 
Rais alishauriwa na Uongozi wa ACT Wazalendo wakkongozwa na Makamu wa Rais wa Zanzibar mh Othman Masoud

Ndio Mbowe akaahirishiwa Kesi ya Ugaidi

Hao ACT unawaamini kwenye mambo ya CHADEMA lakini waliposema kuwa ndege sita zimepaki mkaja juu. Hai wameaanza kuongea sio leo, tangu Zitto, akaja yule Mwenyekiti kwa hivyo huyo masoud Hana jipya anatafuta kiki tu maana siasa zimeshinda.
 
Ni Ujinga, Utindiga, Ututusa na Ubwege kumuogopa Rais kwa miaka 7 mkiwa mmeufyata halafu leo amekufa ndio mnatumia Mikutano ya hadhara kumsimanga, kumkejeli na kumtukana...
Mostly watu wanaohangaika na Magu na waliokufa daily ndo hao hao mambo yakiwa magumu kwao Huenda ktk MAKABURI ya kwao, na koo zao kutafuta Suluhu ya matatizo Yao.

Ni Ishara ya GIZA na kuchanganyikiwa Kwa watu ktk Nchi.

Pia jua Viongozi dhaifu wamewekeza sana ktk kuleta CONFUSION juu ya watu Ili kuficha madhaifu Yao yasisemwe.

Soon yatapita.
 
Hao mamilioni alio waua naomba unitajie ?

Kama hayajakufika kaa kimya. Usipende kuona uhai wa wengine hauna maana. Ila fahamu damu ya mtu haiendi bure ndio maana ibilisi kafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…