Angalia unachoandika! Ndiyo akili ndogo za Lumumba! Talk sense , siyo propaganda, talk substance, tusme nondo zako!Sisi ndio waasisi wa Chadema
Ndio tumemwambia Lisu kwamba Mbowe aendelee na uenyekiti hadi Maridhiano yakamilike 2030..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia unachoandika! Ndiyo akili ndogo za Lumumba! Talk sense , siyo propaganda, talk substance, tusme nondo zako!Sisi ndio waasisi wa Chadema
Ndio tumemwambia Lisu kwamba Mbowe aendelee na uenyekiti hadi Maridhiano yakamilike 2030..
Si ulibip kwa kumwita Uchwarasifa zote hizo unazo wewe. Kama unaweza kumshabikia muuaji basi sifa zote hizo ni zako. bahati mbaya anonymity rule ya JF inanizuia kukwambia wewe ni nani!
Hujui lolote WeweAngalia unachoandika! Ndiyo akili ndogo za Lumumba! Talk sense , siyo propaganda, talk substance, tusme nondo zako!
Take it as a lesson. A case study.Ni yupi anaye umia kwa sasa kati ya huyu anayetukanwa aliekufa,na mtukanaji aliye hai?
Ni Ujinga, Utindiga, Ututusa na Ubwege kumuogopa Rais kwa miaka 7 mkiwa mmeufyata halafu leo amekufa ndio mnatumia Mikutano ya hadhara kumsimanga, kumkejeli na kumtukana....
Waoga sana hawa wapo kama nguchiro tu
USSR
Kweli, mapambano siku zote haya hitaji watu legelege ni bora yasiwepo.Ni Ujinga, Utindiga, Ututusa na Ubwege kumuogopa Rais kwa miaka 7 mkiwa mmeufyata halafu leo amekufa ndio mnatumia Mikutano ya hadhara kumsimanga, kumkejeli na kumtukana...
Hujui lolote Wewe
Masoud amesema wao ndio wameanzisha Maridhiano ndio wakamtoa Mbowe jela akaenda direct Kwenye Maridhiano kabla Hata ya nyumbani kwake
Karai kuelewa haya ni ngumu sana!
Kweli, mapambano siku zote haya hitaji watu legelege ni bora yasiwepo.
Amekufa akisimama katika kile alichokiaminiNi ubwege kuwashambulia upinzani kwa miaka sita, halfu unakufa kwa umeme.
Pia mpinzani gani anaetoka huko alipokuwepo kuja kumtukana tu marehem na kukimbia!
Hovyo kabisa hawa watu. Sijui wanapataje chawa wa kuwaunga mkono.
Amekufa akisimama katika kile alichokiamini
Huyo ndio Kiongozi
Siyo akina Ni Yeye wanakimbizana na mifupa kama Fisi wenye.njaa kali
Jiulize kwa nini Kikwete hakusemwa alipostaafu? Au Mkapa hakusemwa alopostaafu hata alipofariki?Potelea mbali!
Upinzani wa Mchongo
Rais alishauriwa na Uongozi wa ACT Wazalendo wakkongozwa na Makamu wa Rais wa Zanzibar mh Othman MasoudKarai mwenyewe, Rais kasema yet ndio alimuita Mbowe Ikulu, Sasa kosa la mbowe ni lipi, kusamehe?. Ondokeni na Roho zenu mbaya.
Kama mnaogopa risasi acheni mapambano, wajinga Watanzania waji pambanie wenyewe.Legelege yupi? Anayelima watu risasi au anayelimwa risasi. Wewe unaongea nyuma ya keyboard. Huwezi kuhimili hata mshindo wa risasi moja.
Hawa wapinzani butu wengi walikuwa wamejificha kwenye kimvuli cha marufuku ya mikutano....
Hao mamilioni alio waua naomba unitajie ?Maisha , uhai havina mbadala, lazima kuchukua tahadhali! magufuli ameua siyo chini ya mamilioni ya watu, kwanini watu wasiogope? Wewe shujaa mbona unajiita Makojo, taja jina lako halisi tukutafute
Rais alishauriwa na Uongozi wa ACT Wazalendo wakkongozwa na Makamu wa Rais wa Zanzibar mh Othman Masoud
Ndio Mbowe akaahirishiwa Kesi ya Ugaidi
Mostly watu wanaohangaika na Magu na waliokufa daily ndo hao hao mambo yakiwa magumu kwao Huenda ktk MAKABURI ya kwao, na koo zao kutafuta Suluhu ya matatizo Yao.Ni Ujinga, Utindiga, Ututusa na Ubwege kumuogopa Rais kwa miaka 7 mkiwa mmeufyata halafu leo amekufa ndio mnatumia Mikutano ya hadhara kumsimanga, kumkejeli na kumtukana...
Hao mamilioni alio waua naomba unitajie ?