Kama Vyama vya Upinzani kazi yao ni kumsifia na kumuogopa Rais akiwa madarakani na kumshambulia akishakufa, vifutwe tu havitusaidii chochote!

Jiulize kwa nini Kikwete hakusemwa alipostaafu? Au Mkapa hakusemwa alopostaafu hata alipofariki?
Mkapa kajisema mwenyewe Kwenye Kitabu Chake

Mkapa aliogopwa na wote kuanzia CCM hadi Wapinzani wa Shimoni Mombasa

Kikwete alisema pale Chato kwamba yeye ndio alipitisha Jina la Magufuli kugombea Urais na anasisitiza kuwa mwenyekiti wa CCM ana nguvu kubwa sana

So ukimsema Magufuli unakuwa umeshawasema na waliomwandaa kuwa Rais

Haihitaji PhD ya Babu Tale kuelewa hili
 
Kama hayajakufika kaa kimya. Usipende kuona uhai wa wengine hauna maana. Ila fahamu damu ya mtu haiendi bure ndio maana ibilisi kafa.
Nime uliza mamilioni kwa sababu maelezo yame andika mamilioni nawe pia naomba unisaidie kutaja hao mamilioni walio uliwa na Magufuli?

Swala la kuguswa hali husiani na swali, karibu nawe kwa jibu lako.
 
Hao ACT unawaamini kwenye mambo ya CHADEMA lakini waliposema kuwa ndege sita zimepaki mkaja juu. Hai wameaanza kuongea sio leo, tangu Zitto, akaja yule Mwenyekiti kwa hivyo huyo masoud Hana jipya anatafuta kiki tu maana siasa zimeshinda.
Aliyekuja juu ni MD wa ATCL
 
acha kujitoa ufahamu, hivi kweli umesahau magufuli aliongoza kwa mkono wa chuma? nani hapendi kuishi? unakumbuka ni watu wangapi walipoteza maisha na wengine wengi wamebaki vilema hata leo? ww ndo mjinga na propaganda zako za kijinga
 
Mpinzani anaumwa anapewa pesa ya matibabu na serikali, anaenda ulaya na kurudi Tanzania anapata nauli toka serikalini. Mtu huyu anaweza kua mpinzani kweli? Heshima na utu wake unapimwa kwa bei ndogo sana
 
acha kujitoa ufahamu, hivi kweli umesahau magufuli aliongoza kwa mkono wa chuma? nani hapendi kuishi? unakumbuka ni watu wangapi walipoteza maisha na wengine wengi wamebaki vilema hata leo? ww ndo mjinga na propaganda zako za kijinga
Kama mnaogopa mkono wa chuma huko Upinzani mnafanyia nini?

Kauzeni bar Chako ni Chako tujue moja
 
unatumia nguvu kubwa sana kutetea upuuzi wa awamu ya tano. Yaani umejitia uzuzu kabisa kujifanya umesahau waliomsema jamaa nini kiliwafika? Kwa nini usimuulize Nape, Kinana, January, Mzee Makamba na wenzako wengi hapo Lumbamba hata unashambulia wapinzani? Tatizo likiwa ndani, usitafute mchawi nje kabla ya kuanzia ndani.

Kwa nini usiandike kitabu cha kutetea legacy katili ya awamu ya tano angalau uuze ufaidike?
 
Sasa unafananisha Nape na hao Wapinzani wa Mchongo?!

We bavicha bure kabisa!
 
Ni kundi dogo sana la wale wanaofurahia kumnanga marehemu !! Ni bora wabadili gia angani !!
 
Sasa unafananisha Nape na hao Wapinzani wa Mchongo?!

We bavicha bure kabisa!
bavicha ndiyo nini, to me a Hustler?

Kwa taarifa yako si wote tunaishi kwa ujinga wa kushabikia wanasiasa au uchawa kama wewe na wala si wote sisi ni wanasiasa. Sisi wengine ni hustlers na porojo za siasa hazituhusu hata umsimamishe mwanasiasa mzuri namna gani siwezi kupoteza muda wangu kwenda kumsikiliza, na hata kama ninatazama tv akiwekwa mwanasiasa awe wa ccm au upinzani huwa ninabadilisha chanel au nazima tv. Akili yangu hajagandamana kwa kiwango kama chako kudhani kuwa majibu ya maisha yangu yako kwa mwanasiasa as you are kila siku unapost issues za marehemu. I dont care about any politicians hata wanyongane wauane wote as I know all politicians regardless of their political affiliations, they serve the same master, ni sawa na uingilie ugomvi wa watoto waliozaliwa na baba na mama mmoja.

Hata hivyo, utamuimba magufuli mpaka lini? zama zake zimeshapita? learn to let it go and move forward, he will never be ressurected ili aje akupe mkate aliokuwa anakupa. adjust yourself na mazingira ya sasa and move on.

ACHA UZUZU, SHOW YOUR INTELLIGENCE
 
Wewe ndio zuzu Magufuli Kafa Kazi zake zipo

Hata Wewe yawezekana baba yaka Kafa hata kama si umauti lakini yumkini Kazi zake zipo ukiwepo Wewe!
 
Unaongea pumba
 
Nimeipenda hiyo “ watoto wa baba mmoja na mama mmoja “ ni kweli kabisa !!
 
Ndiyo maana CCM bado ina miongo kadhaa madarakani hata isipofanya chochote.
Naibu Waziri Wa afya kaweka wazi juzi kuwa Watanzania ni watu wa aina gani. Sishangai comment yako hii.
 
Wewe Mbona Huthubutu Kumsema Aliyeko Madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…