johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #61
Mkapa kajisema mwenyewe Kwenye Kitabu ChakeJiulize kwa nini Kikwete hakusemwa alipostaafu? Au Mkapa hakusemwa alopostaafu hata alipofariki?
Mkapa aliogopwa na wote kuanzia CCM hadi Wapinzani wa Shimoni Mombasa
Kikwete alisema pale Chato kwamba yeye ndio alipitisha Jina la Magufuli kugombea Urais na anasisitiza kuwa mwenyekiti wa CCM ana nguvu kubwa sana
So ukimsema Magufuli unakuwa umeshawasema na waliomwandaa kuwa Rais
Haihitaji PhD ya Babu Tale kuelewa hili