Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
KWA SMSWatapataje kusikia sera za wagombea wao kama wanapigwa pin?
Vyombo vya habari vimebanwa na matisho ya Dr Hassan Abbas na TCRA.Hio ni chuki na sio siasa. Siasa za uchaguzi ni jinsi gani unavyouza sera na utafanya nini.
Sidhan kama kuna chombo cha habar kimrtangaza kuwa cdm watakuwa na mkutano sehemu fulan ilq unashangaa watu wanajaaa hadi kumwagikia,jua dunia imekuwa kama kijj,ss iv mambo yote unayapatia kweny cm yako tu,media za ss iv zpo taaban baada ya kuletewa sheria ngum,kwa hyo mbadala upo kwny cm tu
Umemaliza kaziChadema haita pigiwa kura na vyombo vya habari bali itapigiwa kurs na Watanzania.
Mpk leo unaamini kuwa vyombo vya hbr zinaweza kukuingiza ikulu??? Wkt tunanyimwa kurushiwa mikutano yetu sisi tumejipanga kivingine , October watashangaa na roho zao ..wee angalia mikutano yetu haina matangazo wala wasanii lkn tunajaza nyomi mikutano yetu
Nakubaliana na wewe mtoa mada lakini vyombo vya habari siyo kwamba havitaki kurusha habari za vyama vingine lakini vimetishwa.Kampeni hubadilisha upepo pia
Cdm sera zake zinajulikana kwa watanzaniaWatapataje kusikia sera za wagombea wao kama wanapigwa pin?
Ndiyo tumeshazitoa sasaUkiweka hapa tutapata mwanga zaidi
Nakubaliana na wewe mtoa mada lakini vyombo vya habari siyo kwamba havitaki kurusha habari za vyama vingine lakini vimetishwa.
Magazeti ya vyama binafsi yamefungiwa na vyombo unaogopa kupelekewa makadirio ya kodi na kufungiwa kama walivyofanya clouds.
Waandishi binafsi wanahofia maisha yao wakifikiria yaliyomkuta Azory Gwanda na wenzake.
Imagine leo alikopita Magufuli bendera za vyama vingine zimeondolewa usiku na green guard kwa kushirikiana na polisi.
Ccm kwa sasa ishakata kata hata gesi imegomaMaisha yakiwa maguuuuumu kula shida sidhani kams utahitaji tena kusikiliza kupitia media.
CCM haijawanyoisha bado, ipeni miaka 10 mbele kila mtu atakuwa hoiiii.
Mabadiliko yataletwa na watanzania siyo vyama vya siasa.
Siyo ndogo ni kubwa sana mkuu sasa hivi vyombo vya habari vimelazimika kupiga bongo fleva tu vikibadili sana ni kumsifu mkuu.Hii ni hatari sasa