Mngurimi
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 819
- 790
- Thread starter
- #41
Hao wananchi watz watadanganywa na propaganda za vyombo vya habari kuwa mambo Safi wakati wanakula mlo mmoja
Nikupe historia kidogo
Mwaka 1958 wakati wa mkoloni Tanu ilijitanua nchi nzima hakukuwa na radio, tv Wala wasap, ilikuwa Ni Kama uhaini kujiunga na Tanu kwa harakati za kudai uhuru, Kama ilivyo Sasa awamu hii
Tanu ilishindwa viti vingi, ikapelekea mwaka 1961 mkoloni akakubali kuachia nchi bila kupenda
Dogo historia itajirudia mwaka huu
Tuombe uhai tu