Uchaguzi 2020 Kama Vyombo vya Habari vitaendelea kufanya hivi, CHADEMA Ikulu itakuwa ni ndoto

Media zote zinepigwa biti
 
Miaka mitano tuliopitia inatosha twendeni na TALISSU
 
Bahasha za khaki ni muhimu zaidi.
 
Chadema haitapigiwa kura na vyombo vya habari bali itapigiwa kura na Watanzania.
Hizi ndizo akili za chadema na makamanda wao. Tumewashauri sana kuanzisha Tv na redio yao tukaambulia matusi, kejeli na mipasho. Chadema wanaamini zaidi katika harakati kuliko utendaji imara wa kitaasisi. Ndiyo sababu hata Youtube channel yao hairushi kampeni live! Pana ikulu hapo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata mimi nashangaa habari za Chadema hazipo kabisa hata mitandaaoni tu hakuna.
Una lako jambo?
Mtandao gani hakuna habari za CHADEMA?

Social media zote - story Ni moja tu kuhusu mwamba unavyotikisa Chuma !
 
Hasikudanganye mtu kwa population ya mjini na miji midogo yote Tanzania wanajua kinachoendelea kupitia social Media. Simu janja nowadays ni Kama hitaji la lazima kwa maisha ya Sasa.

Nadhani strategy iwe ni kuifikia jamii ya vijijini ambayo kidogo inachangamoto ya kufikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…