Kama waafrika ndio wangegundua teknolojia zinazotusaidia leo, hadi sasa zingekua mali ya wachache, wangeficha.

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
We fikiria,
Machimbo tu ya kariakoo watu wanafanya siri.
Wengine wanadai kusafiri kwa kutumia ungo, wengine wanatuma barua kwa njiwa, sasa kwanini wasiwajuze wenzao pia?

Yani kwanini watu wa kijijini watembee kwa miguu umbali mrefu km ungo upo?
Kama internet ingegunduliwa Africa, watu wasinge ipata aslan,

Any way, asali apa.
 
Handsome boy a.k.a Asali. Unayajua masharti ya kuruka kwa ungo? Kuvunja kanuni zote za Fizikia kwa kuruka bila nishati yo yote unafikiri mchezo?

Hivi hakuna teknolojia yo yote iliyogunduliwa na Waafrika ambayo iko mainstream? Hebu kalifanyie utafiti hili halafu uje urekebishe uzi wako 😂
 
Handsome boy. Unayajua masharti ya kuruka kwa ungo? Kuvunja kanuni zote za Fizikia kwa kuruka bila nishati yo yote unafikiri mchezo?

Mkuu ulidhan basi ni hivyo? Wanakutisha ili usitaman. Ingawa suala zina laionekana kama more imaginative lakini kama inawezekana inawezekana. Wa Africa wachoyo sana
 
1000034065.jpg
 
Kuna watu wanatumia Fisi kusafiri masafa marefu juu ya nchi kavu, huyo fisi unaambiwa anakimbia zaidi ya V8😃
 
Tunasimuliwa kwamba mzee fulani alikuwa ana tiba ya aliyeumwa na nyoka. Cha ajabu hata watoto wake hakuwapa elimu hiyo.

Kutoweka vitu kwenye maandishi yaweza kuwa sababu.
Hawa wa tiba ni wengi sana wameondoka na ujuzi wao, kuna mmoja aliachiwa kijiti cha mti ila haujulikani ni mti gani,
Mtu akivunjika, unachukua kipande kidogo unasugua kwenye jiwe, unampaka, fasta mfupa unaunga.

Sasa kijiti kimeisha, na mti haujulikani
 
We fikiria,
Machimbo tu ya kariakoo watu wanafanya siri.
Wengine wanadai kusafiri kwa kutumia ungo, wengine wanatuma barua kwa njiwa, sasa kwanini wasiwajuze wenzao pia?

Yani kwanini watu wa kijijini watembee kwa miguu umbali mrefu km ungo upo?
Kama internet ingegunduliwa Africa, watu wasinge ipata aslan,

Any way, asali apa.
Mungu

Hakuna usafiri wa ungo .
Ni upumbavu mtupu kufikiri habari ya usafiri wa ungo.

Ni hadithi na michoro ya zamani ambapo babu zetu waliona UFO na kudhani kuwa ni ungo kwa muundo na muonekano wake unaofanana na ungo.
 
umemalizia na kibwagizo chenu kuwa wewe ni asali..
 
Mkuu ulidhan basi ni hivyo? Wanakutisha ili usitaman. Ingawa suala zina laionekana kama more imaginative lakini kama inawezekana inawezekana. Wa Africa wachoyo sana
Tekinolojia ya kuruka kwa ungo naijua in and out. Nakuuliza tena; masharti yake utayaweza? Ilinichukua miaka zaidi ya 15 kuifuatilia maana kisayansi haiwezekani mtu ukae juu ya ungo halafu uruke kutoka Simiyu kwenda Mpanda tena kwa spidi kali bila kutumia nishati yo yote wala kanuni zinazoeleweka. Halafu wewe uko Mpanda lakini huku Simiyu watu wanakuona upo umelala, unalima au unakamua ng'ombe maziwa na kupiga stori kama kawaida. Kuna dogo Mjerumani kaifanyia utafiti wa tasnifu ya uzamivu (Ph.D) katika Cultural Anthropology ngoja tasnifu yake ikichapishwa nitakutumia. Nilifanya naye kazi japo mauzauza yalipomzidia alitaka kusitisha utafiti wake nikamwambia dogo komaa na hivi vizee vya Gamboshi havitakuua wala nini. Mwafrika we muone tu hivi hivi 😂
 
Mungu

Hakuna usafiri wa ungo .
Ni upumbavu mtupu kufikiri habari ya usafiri wa ungo.

Ni hadithi na michoro ya zamani ambapo babu zetu waliona UFO na kudhani kuwa ni ungo kwa muundo na muonekano wake unaofanana na ungo.
Hata hizo UFO hawakuziona. Ni hadithi za kutunga tu.
 
We fikiria,
Machimbo tu ya kariakoo watu wanafanya siri.
Wengine wanadai kusafiri kwa kutumia ungo, wengine wanatuma barua kwa njiwa, sasa kwanini wasiwajuze wenzao pia?

Yani kwanini watu wa kijijini watembee kwa miguu umbali mrefu km ungo upo?
Kama internet ingegunduliwa Africa, watu wasinge ipata aslan,

Any way, asali apa.
Wewe hiyo asali wenzio unawapa?
 
Tekinolojia ya kuruka kwa ungo naijua in and out. Nakuuliza tena; masharti yake utayaweza? Ilinichukua miaka zaidi ya 15 kuifuatilia maana kisayansi haiwezekani mtu ukae juu ya ungo halafu uruke kutoka Simiyu kwenda Mpanda tena kwa spidi kali bila kutumia nishati yo yote wala kanuni zinazoeleweka. Halafu wewe uko Mpanda lakini huku Simiyu watu wanakuona upo umelala, unalima au unakamua ng'ombe maziwa na kupiga stori kama kawaida. Kuna dogo Mjerumani kaifanyia utafiti wa tasnifu ya uzamivu (Ph.D) katika Cultural Anthropology ngoja tasnifu yake ikichapishwa nitakutumia. Nilifanya naye kazi japo mauzauza yalipomzidia alitaka kusitisha utafiti wake nikamwambia dogo komaa na hivi vizee vya Gamboshi havitakuua wala nini. Mwafrika we muone tu hivi hivi 😂
Kwahiyo mkuu inawezekana kabisa?
 
Back
Top Bottom