Kama waafrika ndio wangegundua teknolojia zinazotusaidia leo, hadi sasa zingekua mali ya wachache, wangeficha.

Kama waafrika ndio wangegundua teknolojia zinazotusaidia leo, hadi sasa zingekua mali ya wachache, wangeficha.

We fikiria,
Machimbo tu ya kariakoo watu wanafanya siri.
Wengine wanadai kusafiri kwa kutumia ungo, wengine wanatuma barua kwa njiwa, sasa kwanini wasiwajuze wenzao pia?

Yani kwanini watu wa kijijini watembee kwa miguu umbali mrefu km ungo upo?
Kama internet ingegunduliwa Africa, watu wasinge ipata aslan,

Any way, asali apa.
Tena kama mwarabu ndio kabisa😀😀
 
Tekinolojia ya kuruka kwa ungo naijua in and out. Nakuuliza tena; masharti yake utayaweza? Ilinichukua miaka zaidi ya 15 kuifuatilia maana kisayansi haiwezekani mtu ukae juu ya ungo halafu uruke kutoka Simiyu kwenda Mpanda tena kwa spidi kali bila kutumia nishati yo yote wala kanuni zinazoeleweka. Halafu wewe uko Mpanda lakini huku Simiyu watu wanakuona upo umelala, unalima au unakamua ng'ombe maziwa na kupiga stori kama kawaida. Kuna dogo Mjerumani kaifanyia utafiti wa tasnifu ya uzamivu (Ph.D) katika Cultural Anthropology ngoja tasnifu yake ikichapishwa nitakutumia. Nilifanya naye kazi japo mauzauza yalipomzidia alitaka kusitisha utafiti wake nikamwambia dogo komaa na hivi vizee vya Gamboshi havitakuua wala nini. Mwafrika we muone tu hivi hivi 😂
Chai
 
We fikiria,
Machimbo tu ya kariakoo watu wanafanya siri.
Wengine wanadai kusafiri kwa kutumia ungo, wengine wanatuma barua kwa njiwa, sasa kwanini wasiwajuze wenzao pia?

Yani kwanini watu wa kijijini watembee kwa miguu umbali mrefu km ungo upo?
Kama internet ingegunduliwa Africa, watu wasinge ipata aslan,

Any way, asali apa.
Et ASALI HAPA
 
Mungu

Hakuna usafiri wa ungo .
Ni upumbavu mtupu kufikiri habari ya usafiri wa ungo.

Ni hadithi na michoro ya zamani ambapo babu zetu waliona UFO na kudhani kuwa ni ungo kwa muundo na muonekano wake unaofanana na ungo.
Pole sana mkuu .naona Bibi ako hakuwai kuwa mlozi kwahiyo technology ya kupaa Kwa ungo imekupita.

Kupaa na ungo NI kitu halisi isipokuwa masharti pamoja na nishati inayotumika ndio tatizo .

Kupaa Kwa ungo kunahitaji mafuta ya mtoto mchanga na Yana survive Kwa miaka mitano mpaka sita Kwa mtoto mmoja

Unaona kazi hiyo .? Ukijitoa akili kazi yako itakuwa NI kuua Tu vichanga Kwa Jina la kupaa Kwa ungo .


Kupaa KWA ungo kunatolewa vibali .kila anga la kila Taifa Lina jini mkuu anayetoa vibali watu wapae Kwa ungo rejea Daniel (biblia)
 
Back
Top Bottom