Watawadanganya mambumbumbu, klabu zinahitaji Silverwares sio blabla kama za SimbaWanasema hii michuano ya ndani ikiwemo sport pesa sio kipaumbele chao wao wanataka ubingwa wa Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watawadanganya mambumbumbu, klabu zinahitaji Silverwares sio blabla kama za SimbaWanasema hii michuano ya ndani ikiwemo sport pesa sio kipaumbele chao wao wanataka ubingwa wa Africa
Timu yetu sasa imekuwa kituko, hata hiyo Return On Investment siioniKocha wa Nkana na Vita walishamfundisha kocha wa Simba cha Kufanya.
Lakini nadhani hazingatii ushauri wa makocha wenzake.
-Kasi Zero
-Bidii Zero
-Umakini golini Zero
- Pasipasi 100%
Kamati ya Uwekezaji ni lazima mkae chini mtathmini hali ya timu.
Haina maana ya kuwekeza wakati hata kikombe cha Mbuzi timu inashindwa kupata.
Ona hao washambuliaji waliofanya Majaribiao, hata kuzima mpira hawawezi.
Ni nani kawaleta ?
Muwasajiri basi tuone vituko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona aibu...Huyo tripple c anapambwa zaidi ya uwezo wake. Ni mchezaji wa kawaida sana.
Wakimaliza msimu bila kikombe hata kimoja itakuwa aibu kubwa sana na uzembe wa kujitakia yaani wameziacha million 70 za sport pesa kizembe sanaHili timu limenikatisha tamaa kabisa tusipoangalia Misri tutapata aibu zaidi tuliyoipata Congo
Si tumebiwa kuna kikosi kipana?kwanini aogope mashindano? Kwanini wakubali kushiriki kama hawayapi kipaumbele?tatizo sio Kocha haya mashindano yameingiliana na mashindano mengine makubwa kocha lazima achezeshe timu kwa tahadhari ya kutopata majeruhi, kuwafanya wasichoke sana na pia kuangalia viwango vya wachezaji anaotaka kuwasajili ila kuna wachezaji wengine hata wapewe nafasi kiasi gani bado mazoba
Mikia mmeanza kulalamikaWachezaj wa simba hawana umakini simba hawana wachezaj wa kuamua matokeo coach nae hana mbinu mbadala
Out zamani sanaNimekata tamaa ni wachezaji wa klabu ya Simba kutoka na aina ya uchezaji wao wa kutaka kushangiliwa "Show game".Wachezaji hawajui kuwa kila dakika timu inataka goli wanatumia muda mwingi kupiga chenga zisizo na tija kwa timu.Wachezaji hawapigi mashuti wanapiga chenga na kupoteza mipira.Kwa walioona mechi ya leo kati ya Simba na Bandari , Wachezaji wa Bandari walikuwa nyuma lakini wamecheza kwa malengo na kusawazisha goli na kuongeza bao la ushindi.Naamini ingekuwa Bandari ndio imeanza kufunga kwa wachezaji wa Simba wasingeweza kusawazisha lile goli kwa wanapenda kucheza "Show game".Hitimisho kwa uchezaji huu Simba itatolewa Mechi za Makundi na Ligi kuu ya Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah bado yupo vizuri kocha wetu uchebeKuhusu coach n Kweli tunahitaj coach kwa ajili ya kubeba mataj nasio coach wa kuchezea Mpira show game Pia tunahitaj wachezaj makini
Historia ya Kipigo kikali au?
Tena ya mchanaNdoto mbaya..... Sasa wewe ulikuwa unafikiria Simba atapita hatua ya makundi????
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa taifa leo,Mikia wametukanaMkome kuibeza Yanga,eti kikosi kipana,mara kikosi cha bilioni moja! Pumbafu kabisa!
Sahihi mkuu,mechi ya leo imeniumiza sana na kunipa tafakari nyingi....wakenya ni bora kuanzia elimu,kimaisha,kimechezo na mambo mengi,leo nimekubali wameingiza fainali timu zote 2 halafu wanaongoza mara 3 kombe la kwao....nahamia kenya wakuuNimekata tamaa ni wachezaji wa klabu ya Simba kutoka na aina ya uchezaji wao wa kutaka kushangiliwa "Show game".Wachezaji hawajui kuwa kila dakika timu inataka goli wanatumia muda mwingi kupiga chenga zisizo na tija kwa timu.Wachezaji hawapigi mashuti wanapiga chenga na kupoteza mipira.Kwa walioona mechi ya leo kati ya Simba na Bandari , Wachezaji wa Bandari walikuwa nyuma lakini wamecheza kwa malengo na kusawazisha goli na kuongeza bao la ushindi.Naamini ingekuwa Bandari ndio imeanza kufunga kwa wachezaji wa Simba wasingeweza kusawazisha lile goli kwa wanapenda kucheza "Show game".Hitimisho kwa uchezaji huu Simba itatolewa Mechi za Makundi na Ligi kuu ya Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubingwa wa ligi sio rahisi kuchukua, mpira wa Simba ni wa taratibu sana ni rahisi kuwadhibiti, labda wabadilishe kochaWakimaliza msimu bila kikombe hata kimoja itakuwa aibu kubwa sana na uzembe wa kujitakia yaani wameziacha million 70 za sport pesa kizembe sana
Tatizo kocha, ulaya kuna mashindano lukuki lakini wanacheza vizuri tu. Lazima kushindania vikombe vingi ili ubora wako uonekane sio kombe moja tu, ukibahatisha jetatizo sio Kocha haya mashindano yameingiliana na mashindano mengine makubwa kocha lazima achezeshe timu kwa tahadhari ya kutopata majeruhi, kuwafanya wasichoke sana na pia kuangalia viwango vya wachezaji anaotaka kuwasajili ila kuna wachezaji wengine hata wapewe nafasi kiasi gani bado mazoba
Maneno kama haya pia ni mazuri kutupa moyo. Ila mi binafsi naona hii timu mbovu sioni jipya.tatizo sio Kocha haya mashindano yameingiliana na mashindano mengine makubwa kocha lazima achezeshe timu kwa tahadhari ya kutopata majeruhi, kuwafanya wasichoke sana na pia kuangalia viwango vya wachezaji anaotaka kuwasajili ila kuna wachezaji wengine hata wapewe nafasi kiasi gani bado mazoba