Kama Wachezaji wa Simba wataendelea kucheza 'Show Game', kwenye Makundi nje na kwenye ligi hawapati kitu

Timu yetu sasa imekuwa kituko, hata hiyo Return On Investment siioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili timu limenikatisha tamaa kabisa tusipoangalia Misri tutapata aibu zaidi tuliyoipata Congo
Wakimaliza msimu bila kikombe hata kimoja itakuwa aibu kubwa sana na uzembe wa kujitakia yaani wameziacha million 70 za sport pesa kizembe sana
 
tatizo sio Kocha haya mashindano yameingiliana na mashindano mengine makubwa kocha lazima achezeshe timu kwa tahadhari ya kutopata majeruhi, kuwafanya wasichoke sana na pia kuangalia viwango vya wachezaji anaotaka kuwasajili ila kuna wachezaji wengine hata wapewe nafasi kiasi gani bado mazoba
 
Si tumebiwa kuna kikosi kipana?kwanini aogope mashindano? Kwanini wakubali kushiriki kama hawayapi kipaumbele?
 
Out zamani sana
 
Sahihi mkuu,mechi ya leo imeniumiza sana na kunipa tafakari nyingi....wakenya ni bora kuanzia elimu,kimaisha,kimechezo na mambo mengi,leo nimekubali wameingiza fainali timu zote 2 halafu wanaongoza mara 3 kombe la kwao....nahamia kenya wakuu
 
Wakimaliza msimu bila kikombe hata kimoja itakuwa aibu kubwa sana na uzembe wa kujitakia yaani wameziacha million 70 za sport pesa kizembe sana
Ubingwa wa ligi sio rahisi kuchukua, mpira wa Simba ni wa taratibu sana ni rahisi kuwadhibiti, labda wabadilishe kocha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kocha, ulaya kuna mashindano lukuki lakini wanacheza vizuri tu. Lazima kushindania vikombe vingi ili ubora wako uonekane sio kombe moja tu, ukibahatisha je

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno kama haya pia ni mazuri kutupa moyo. Ila mi binafsi naona hii timu mbovu sioni jipya.
 
Eti na "ligi out"...😁😁 kwa hiyo watashuka daraja au?
Kushabikia mpira wa bongo kunahitaji kipaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…