ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Dhana ya kuwa na kikosi kìpana ni nini? Sì mlituaminïsha kuwa simba ina kiķosí kipana imekuwaje tena?tatizo sio Kocha haya mashindano yameingiliana na mashindano mengine makubwa kocha lazima achezeshe timu kwa tahadhari ya kutopata majeruhi, kuwafanya wasichoke sana na pia kuangalia viwango vya wachezaji anaotaka kuwasajili ila kuna wachezaji wengine hata wapewe nafasi kiasi gani bado mazoba
Wanasema eti mashindano yameingiliana wakati hata huko ulaya timu zinacheza vikombe vingi na bado wanafanya vizuri hapa ni kwamba timu ina mapungufu mengi hawataki kukiri hili.Dhana ya kuwa na kikosi kìpana ni nini? Sì mlituaminïsha kuwa simba ina kiķosí kipana imekuwaje tena?
Wataelewa msimu ukiisha bila kikombe chochote hapo ndipo Mo atakapouza shares zake zote japo kwa hasara na kuiacha timu ombaombaSimba ni mbovu.
Na haitapata hata kikombe cha Mbuzi msimu huu.
Tatizo ni kocha.
Hataki hata msaidizi
Hana mbinu ya ushindi
Huu ukweli wengine hawautaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kipaumbele chake kwenye ubingwa wa Afrika kwa gharama ya kupoteza vikombe vingine vyote huwa nashindwa kunwelewa, hata ligi kuu kwake sio muhimu kama klabu bingwa Afrika, huyu kocha kuna watu wamepiga hela za Mo bila hurumaSimba ni mbovu.
Na haitapata hata kikombe cha Mbuzi msimu huu.
Tatizo ni kocha.
Hataki hata msaidizi
Hana mbinu ya ushindi
Huu ukweli wengine hawautaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo siyo kocha. Tatizo siyo wachezaji. Tatizo ni anayetafuta kocha, na anayesajili wachezaji. Ungetarajia timu kuingia kwenye mfumo mpya ingebadili aina ya uendeshaji. Lakini wapi! Wapiga dili walewale ndio wamebaki kuongoza klabu. Kilichoongezeka ni pesa na mwenye pesa. Utegemee nini paka anapofungwa na kitoweo, kama si kukitowea mpaka akavimbiwa? Huwezi kushinda Kombe la Afrika kwa wachezaji/timu inayopata taabu kuifunga Yanga yenye matatizo lukuki, au Mbao yenye usajili wa kuungaunga, au timu ambazo ubora wake ni vinywa vya wasemaji wao.Tatizo ni kocha timu ipo slow na wanasubiri tukose ligu kuu ndio watimuane
Nikweli na lile pazia,Kazi wanayo
Kuna ukweli mkuu.Kuhusu coach n Kweli tunahitaj coach kwa ajili ya kubeba mataj nasio coach wa kuchezea Mpira show game Pia tunahitaj wachezaj makini
Hapo ndipo unapoona ubabaishaji wa soka letu. Emirates wanadhamini timu kubwa kubwa kadhaa barani Ulaya. Umewaona wakiziingiza kwenye mashindano ya wao kwa wao ndani ya msimu wa Ligi? Sportspesa ndio nani kuvuruga Ligi yetu kwa sababu tu ndio wadhamini wa timu zetu? Mbona hawaiingilii Everton ili icheze na huyo mshindi wa hili Bonanza katikati ya msimu wa EPL? Simba, yenye uwezo wa kifedha, imeshindiwa nini kuwaambia Sportspesa kwamba hawako tayari kuchezeshwa bonanza wakati huu wakiwa kwenye hatua muhimu ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hata kama ni kwa kuvunja mkataba na hao Sportspesa? TFF inashindwaje kukataa kupangua ratiba ya Ligi Kuu kwa ajili ya bonanza hilo? Wote ni kwa sababu ya tamaa ya vijisenti, iwe ni mapato ya milangoni au ujanja wa kwenye viingilio. Lakini na Kocha naye kama ameona Mashindano ya Sportspesa ni kikwazo kwa malengo yake mapana, alishindiwa nini kuweka msimamo wake mapema mpaka alalamike baada ya kipigo cha Bandari, kama si ubabaishaji? Kombe peke la kimataifa tunaloweza kujiamini kuwa tutalichukua ni la ubabaishaji!tatizo sio Kocha haya mashindano yameingiliana na mashindano mengine makubwa kocha lazima achezeshe timu kwa tahadhari ya kutopata majeruhi, kuwafanya wasichoke sana na pia kuangalia viwango vya wachezaji anaotaka kuwasajili ila kuna wachezaji wengine hata wapewe nafasi kiasi gani bado mazoba
Hahaha Manara sometimes ni comedian..Teh teh teh teh teh ila Simba bhana sijui maneno ya Manara yanawalevya? Ukiangalia usajili wao.......
.
Ndio hili linachangiwa sana na aina ya mazoezi wanayopewa na Makocha wao.Wachezaji wanao cheza Tanzania wavivu