Kama Wachezaji wa Simba wataendelea kucheza 'Show Game', kwenye Makundi nje na kwenye ligi hawapati kitu

Kama Wachezaji wa Simba wataendelea kucheza 'Show Game', kwenye Makundi nje na kwenye ligi hawapati kitu

Tatizo ni kocha timu ipo slow na wanasubiri tukose ligu kuu ndio watimuane
 
Timu ata haieleweki inacheza mfumo gani.wachezaji nikuruka ruka tu uwanjani kama wanacheza mdumange.Kocha naye uwezo umekwisha kabakia kushika tu mzuzu.Soka letu bado sana,kelele za mdomo nyingi kuliko vitendo.
 
Nimekata tamaa ni wachezaji wa klabu ya Simba kutoka na aina ya uchezaji wao wa kutaka kushangiliwa "Show game".Wachezaji hawajui kuwa kila dakika timu inataka goli wanatumia muda mwingi kupiga chenga zisizo na tija kwa timu.Wachezaji hawapigi mashuti wanapiga chenga na kupoteza mipira.Kwa walioona mechi ya leo kati ya Simba na Bandari , Wachezaji wa Bandari walikuwa nyuma lakini wamecheza kwa malengo na kusawazisha goli na kuongeza bao la ushindi.Naamini ingekuwa Bandari ndio imeanza kufunga kwa wachezaji wa Simba wasingeweza kusawazisha lile goli kwa wanapenda kucheza "Show game".Hitimisho kwa uchezaji huu Simba itatolewa Mechi za Makundi na Ligi kuu ya Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwa as vita walijkfanya kucheza kupasiana pasiana pasi zisizo na tija. Kilichotokea kila mtu anajua. Natabiri mabaya zaidi ya ya kongo kutokea huko misri.
 
Hata angepewa timu mwaka juzi ubingwa tungekosa hajiwezi na hajui mbinu mbadala hususani soka la africa hela za mo zinateketea
Cha kusikitisha Mo hilo halijui au wapambe waliomleta wanaendelea kumdanganya kuwa awe na subira.

Tungekuwa tupo kwenye mashindano ya FA, au tumechukua kombe la Mapinduzi angalau ningemwelewa kidogo lakini huko kote amefeli, hili la Sport Pesa amefeli halafu ana matumaini na ubingwa wa Africa, he must be insane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kusikitisha Mo hilo halijui au wapambe waliomleta wanaendelea kumdanganya kuwa awe na subira.

Tungekuwa tupo kwenye mashindano ya FA, au tumechukua kombe la Mapinduzi angalau ningemwelewa kidogo lakini huko kote amefeli, hili la Sport Pesa amefeli halafu ana matumaini na ubingwa wa Africa, he must be insane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema hii michuano ya ndani ikiwemo sport pesa sio kipaumbele chao wao wanataka ubingwa wa Africa
 
Kocha wa Nkana na Vita walishamfundisha kocha wa Simba cha Kufanya.
Lakini nadhani hazingatii ushauri wa makocha wenzake.
-Kasi Zero
-Bidii Zero
-Umakini golini Zero
- Pasipasi 100%
Kamati ya Uwekezaji ni lazima mkae chini mtathmini hali ya timu.
Haina maana ya kuwekeza wakati hata kikombe cha Mbuzi timu inashindwa kupata.
Ona hao washambuliaji waliofanya Majaribiao, hata kuzima mpira hawawezi.
Ni nani kawaleta ?
Muwasajiri basi tuone vituko.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom