figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Natoa tahadhari kwa Wafusi wa Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA. Kama wafuasi wa Mbowe wataendelea kutukana Viongozi wa CHADEMA kama walivyofanya kwa Mchungaji Msigwa, Wajiandae kumpoteza Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Njombe Rose Mayemba.
Mheshimiwa Rose Mayemba
Wafuasi wa Mbowe inatakiwa Watambue CHADEMA si mali ya Mbowe.
Mwenyekiti wa CHAMA anaweza kutoka popote Tanzania.
So nawapa Onyo wote mnaojifanya Kumtusi, Kumdhalilisha dada Mayemba kwa kudhani Kaskazini ndo inanguvu chadema. Mnajidangaamya.
Kwanini Freeman Mbowe hakuwakemea waliokuwa wanamtukana na kumtenga Peter Msigwa wala hakuna chochote kinasemwa kwa Wanaomdhalilisha Rose Mayemba? Au sababu Rose ni Mnyonge? Au sababu Rose hajui kujibizana matusi mitandaoni?
Kumbuka Kanda ya Nyasa, Rose anakubalika kuliko yoyote kutoka kanda yoyote ndo Maana ameshinda Uongozi wa Mkoa wa Njombe kwa 65% bila kuhonga wala kutengeneza bifu.
Ni wakati wa Viongozi wa Juu kuwaonya Vijana wao wa Mtandaoni wahubiri umoja.